Ukitaka kujua ukweli wa imani unayoamini kila siku...jivue kwa mda utayaona mapungufu

Ukitaka kujua ukweli wa imani unayoamini kila siku...jivue kwa mda utayaona mapungufu

IKIRIRI

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2018
Posts
2,734
Reaction score
3,023
Namanisha wengi wetu tuko na imani tulizonazo @ ni kwa sababu tumezaliwa tukakuta wazazi wanaamini na wakatuaminisha.
Imani hizi zimefunga watu wengi kiasi kwamba ni ngumu kuona mbele hata km ni genius vp@ ukihoji utaishia kukufuru tu.
Wachache km Kiranga wamethubutu sijajua amepata wapi ujasiri...
Tafakari chukua hatua....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na wewe pia umeshajivua ndugu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazazi Wetu Walirithi kwa nani na wazazi wao walirithi kwa nani na wazazi wao pia walirithi kwa nani??
Imani huja kwa kusikia) sio (kwa kurithi au kuaminishwa) akili mgando hizi hatutaki( unafikiri kila Alie muislam au mukristo ndo karithi?? Mbona mimi nilikuwa kama kiranga saivi nimekuwa kama Paulo mtume?? (Kutokuamini katika Mungu Sio Ujanja Wala Sio Ujinga imani huja kwa kusikia mkuu)
 
Kuwa na imani na Mungu fulani au jambo fulani sio kosa!
Kosa ni kuona wengine wanakosea kuwa na imani tofauti na wewe.
Mfano mimi hapa sina dini na wala siamini katika dini yoyote. Kutokana na huo mtazamo wangu, asitokee yeyote wa kutaka niwe kama yeye!
Endapo akitokea wa kutaka niwe kama yeye, basi aje na kitu mbadala na awe tayari kwa maswali.

Na yeyote mwenye kutaka kuigeuza imani kuwa sheria, huyo ni mpumbavu kabisa.
 
Back
Top Bottom