Na wewe pia umeshajivua ndugu..Namanisha wengi wetu tuko na imani tulizonazo @ ni kwa sababu tumezaliwa tukakuta wazazi wanaamini na wakatuaminisha.
Imani hizi zimefunga watu wengi kiasi kwamba ni ngumu kuona mbele hata km ni genius vp@ ukihoji utaishia kukufuru tu.
Wachache km Kiranga wamethubutu sijajua amepata wapi ujasiri...
Tafakari chukua hatua....
Sent using Jamii Forums mobile app