ukitaka kujua umechaguliwa TCU au la soma hapa

ukitaka kujua umechaguliwa TCU au la soma hapa

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Ingia web ya TCU na ulog in kwenye account yako.Nenda kwenye profile yako uclick hapo.Profile ikifunguka nenda kaclick kwenye application 2nd round.Baada ya kuclick itakuja option ya add code ya program kwa ajili ya second round ya selection.Ukiaad hiyo code alafu uje kwenye save changes uclick hapo.Baada ya kuclick save changes itakuja message amabayo itasema kama umeshachaguliwa na hauruhusiwi tena kuomba.Mimi nimefanya hivyo na kuletewa ujumbe huo.

Angalizo:Application 2nd round inayoonekana baada ya kulog in achana nayo na badala yake nenda moja kwa moja kwenye profile kama nilivyokueleza hapo mwanzoni.
 
dah thnx god...nshachaguliwa,,,,twashkuru mkuu!!!!!
 
WARNING!!,APPLICATION AND ADMISSION PROCESS
IS DONE ONLY ONCE,YOU HAVE APPLIED AND YOU
HAVE ADMITTED ALREADY,NOT ALLOWED TO APPLY
TWICE,THANKS!!. Yeaaaaah yeaaaaaaah ila tatizo ni chuo na koz ipi????
 
ingia web ya tcu na ulog in kwenye account yako.nenda kwenye profile yako uclick hapo.profile ikifunguka nenda kaclick kwenye applicaionn 2nd round.baada ya kuclick itakuja option ya add code ya program kwa ajili ya second round ya selection.ukiaad hiyo code alafu uje kwenye save changes uclick hapo.baada ya kuclick save changes itakuja message amabayo itasema kama umeshachaguliwa na hauruhusiwi tena kuomba.mimi nimefanya hivyo na kuletewa ujumbe huo.
Angalizo:application 2nd round inayoonekana baada ya kulog in achana nayo na badala yake nenda moja kwa moja kwenye profile kama nilivyokueleza hapo mwanzoni.

warning!!,application and admission process
is done only once,you have applied and you
have admitted already,not allowed to apply
twice,thanks!!.
 
Ha ha ha ha ha jembe tatizo chuo gani na course gani.
 
hizi ndo taarifa tunazo hitaj hum JF sio ujinga na kutiana presha...maisha mafup haya wakuu,ukiplus na presha si unakufa kabisa..lol...
 
hizi ndo taarifa tunazo hitaj hum JF sio ujinga na kutiana presha...maisha mafup haya wakuu,ukiplus na presha si unakufa kabisa..lol...

Inabidi ijulikane post ni ya wapi, hii habari njema haijapata mwisho ake ....
 
Mimi nafanya uchunguzi wa kujua hadi chuo subirieni nakuja sasa hivi wakuu
 
At last aisee mana presha ilikuwa inapanda then inashuka,watu wengine wameumwa kabisa!
 
Ingia web ya TCU na ulog in kwenye account yako.Nenda kwenye profile yako uclick hapo.Profile ikifunguka nenda kaclick kwenye applicaionn 2nd round.Baada ya kuclick itakuja option ya add code ya program kwa ajili ya second round ya selection.Ukiaad hiyo code alafu uje kwenye save changes uclick hapo.Baada ya kuclick save changes itakuja message amabayo itasema kama umeshachaguliwa na hauruhusiwi tena kuomba.Mimi nimefanya hivyo na kuletewa ujumbe huo.
Angalizo:Application 2nd round inayoonekana baada ya kulog in achana nayo na badala yake nenda moja kwa moja kwenye profile kama nilivyokueleza hapo mwanzoni.


safi sana tunawaitaji watu kama nyie mjengoni watafiti wa mambo so kwa upande wangu presha ya kunyimwa menyu(loan) kwa kuomba raundi ya pili imekwisha nauhakika first sellection nipo safi sana mdau
 
fanya haraka tupate genious mwingine kwenye uchunguzi wako!!!!
 
Naona kama internet cafe mbali vile, sijui nimuamini nani anichekie??
 
Back
Top Bottom