Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
ingia web ya tcu na ulog in kwenye account yako.nenda kwenye profile yako uclick hapo.profile ikifunguka nenda kaclick kwenye applicaionn 2nd round.baada ya kuclick itakuja option ya add code ya program kwa ajili ya second round ya selection.ukiaad hiyo code alafu uje kwenye save changes uclick hapo.baada ya kuclick save changes itakuja message amabayo itasema kama umeshachaguliwa na hauruhusiwi tena kuomba.mimi nimefanya hivyo na kuletewa ujumbe huo.
Angalizo:application 2nd round inayoonekana baada ya kulog in achana nayo na badala yake nenda moja kwa moja kwenye profile kama nilivyokueleza hapo mwanzoni.
hizi ndo taarifa tunazo hitaj hum JF sio ujinga na kutiana presha...maisha mafup haya wakuu,ukiplus na presha si unakufa kabisa..lol...
man imekataa imekubal?? au ndo unajipapa kwa 2nd sectn??Kudadadadeki ngoja nitest
Ingia web ya TCU na ulog in kwenye account yako.Nenda kwenye profile yako uclick hapo.Profile ikifunguka nenda kaclick kwenye applicaionn 2nd round.Baada ya kuclick itakuja option ya add code ya program kwa ajili ya second round ya selection.Ukiaad hiyo code alafu uje kwenye save changes uclick hapo.Baada ya kuclick save changes itakuja message amabayo itasema kama umeshachaguliwa na hauruhusiwi tena kuomba.Mimi nimefanya hivyo na kuletewa ujumbe huo.
Angalizo:Application 2nd round inayoonekana baada ya kulog in achana nayo na badala yake nenda moja kwa moja kwenye profile kama nilivyokueleza hapo mwanzoni.
man imekataa imekubal?? au ndo unajipapa kwa 2nd sectn??