ukitaka kujua umechaguliwa TCU au la soma hapa

mi nawashauri watu waache profile zao kma zilivyo mpaka yatoke matokeo ya waliokosa than ndo watajua mbichi na mbivu
 
duuu cas haijaanza kipindi hcho bro 2010/2011
 
ujumbe unasemaje uandike hapa

warning!!,application and admission process
is done only once,you have applied and you
have admitted already,not allowed to apply
twice,thanks!!.
 
Mkuu nimefungua saa hizi kwenye profile yangu hakuna application 2nd round option, nimecheki saa hizi saa 2:14pm

Hebu fafanua kidogo
 
aløoooh ww jamaaa ni noma boy!!!nimeshachaguliwa!!!ila sasa cjajua chuo gani!!!halaaaaa apa sasa naeza kurelax!!!!
 
Mkuu nimefungua saa hizi kwenye profile yangu hakuna application 2nd round option, nimecheki saa hizi saa 2:14pm

Hebu fafanua kidogo

TCU wamegundua kuwa tayari G THINKERS kuna kitu wamepata taarifa imeishavuja.Wajanja tayari tumeishashusha presure kilichobaki ni chuo gani tumepelekwa.TANZANIA NI ZAIDI UIJUAVYO
 
TCU wamegundua kuwa tayari G THINKERS kuna kitu wamepata taarifa imeishavuja.Wajanja tayari tumeishashusha presure kilichobaki ni chuo gani tumepelekwa.TANZANIA NI ZAIDI UIJUAVYO

jf we are always several steps ahead.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…