Ukitaka kumchuna mwanaume......mwongozo

Bishanga

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2008
Posts
15,321
Reaction score
10,075
Kinamama,mabuzi yako kibao mjini ila dada zangu sa ingine mnayakosea.Ukitaka kuyachuna kisawasawa hebu fuata mwongozo huu:
1.Target: Mwindaji mzuri hutambua swala aliyenona kabla hajarusha mshale.Hakikisha unayem target anazo na pia awe mtoaji.
2.6x6: Ashakum si matusi..'ukitaka kuchuna buzi na kut........bana ujue...it is that simple.
3.Usafi: kuwa msafi saa zote,mwilini na nyumbani,weka investment katika hili,italipa,fanya shopping za ukweli,saluni za ukweli.
4.Omba omba: Hata siku moja buzi lako usiliombe vocha,utajishushia thamani yako kwake,target mambo makubwa.
5.Mapishi:Usipende kula bar na bwanako.M encourage ale nyumbani kwako na umpikie a la uzi wa Ashadii to Cheusimangala.
6.Zawadi: Sio unapokea tuuuuuu unapokea,siku moja moja m surprise na ka zawadi (hasa intimate),ataku value zaidi.
7.Kujipendekeza:Jipendekeze kwa wadogo zake wa kiume,watalinda mahusiano yenu,wa kike kaa nao mbali!
8.Kununa: Kuwa full mnafiki,hata akuudhi vipi jitie hamnazo,nyumbani anuniwe na kwako?
9.Mkewe: Kwa usalama wako hakikisha unamfahamu lakini keep distance,vinginevyo vitabumbuluka na utaachwa.
10.Mashost: Marufuku buzi lako kuzoeana na mashost zako,atawalamba,hasa wakionea gere matunzo yake kwako.
11.Kuridhika:Usiwe too demanding, utam put off,jua ni muda gani muafaka wa kumwomba hela na ni wakati gani anazo.
12.Miradi:Usikurupuke,siku ukimwomba akuanzishie mradi hakikisha ni mradi kweli kweli wa kukutoa.
13.Kalumanzila: Never!achana na uchawi,utapoteza bure tu hela yako na indeed akigundua atakupiga chini fasta.

HITIMISHO
Buzi lenyewe kama ni la ukweli kama Bishanga ukienda nalo vizuri kwa kuzingatia misingi hii,uongo kama angalau utaambulia kama sio ka three bedroom house Bunju basi itakuwa apartment Masaki.
Nawatakia maandalizi mema ya valentino!
 
khaaa!

Hivi kumbe jana ulikuwa unamaanisha? Kweli umepinda wewe!
 
Hee!Ngoja nimalizie kumwagilia haka ka bustani kangu!
 
Mshahara wa dhambi ni mauti bali karama za Mungu ni uzima wa milele.
 
kumbeee, ngoja niimarishe baadhi ya vipengele. thanx
 
wee kariri kabisa na ukivuta ka apartment usiache kunialika nije kunywa glass ya wine.
usijali tulishaanza msingi ila naona jamaa kama anataka kusepa sasa baada ya kusoma mwongozo nimeona nime lack baadhi ya vitu ngoja niviimalishe then nyumba ikiisha ntakualika tena uwe mgeni rasmi.
 

Mh, maajabu hayataisha
 
Mwe! Bishanga, Hii nayo nyengine kaka. Duuh! Haya, mie sikualifai napita tu.
 
wewe tena? karibu.
by the way ukimwona Husninyo mwambie nam miss jamani,long time no see.
Yuko busy anatekeleza uliyoyaorodhesha, nyumba ikiisha atarejea. Kama una chochote nipe nitamfikishia.
 
Mwe! Bishanga, Hii nayo nyengine kaka. Duuh! Haya, mie sikualifai napita tu.
 
wewe tena? karibu.
by the way ukimwona Husninyo mwambie nam miss jamani,long time no see.

Ana masikitiko ya kuugu akwa AshaDii ndo maana haonekani humu
Aise mimi naona hii sio kabisa kwangu
napita kutafakari nikipata jibu nitakuja kukujibu ila kwa sasa naweka comment zangu kifichoni aise
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…