Ukitaka kumchuna mwanaume......mwongozo

usijali tulishaanza msingi ila naona jamaa kama anataka kusepa sasa baada ya kusoma mwongozo nimeona nime lack baadhi ya vitu ngoja niviimalishe then nyumba ikiisha ntakualika tena uwe mgeni rasmi.
jamaa kama ni mpenzi wa brandy get him the best vsop usijali bei na kama ni whysky achana na ma red label we ambaa na black,blue au gold au ma chivas ya ukweli,hali kadhalika na wine dodoma wana wine high quality siku hizi kama 'The President',we wekeza tu dear italipa.
(ps: usisahau kumpokea wearing the right negligee ,see through?)
 
Mwe! Bishanga, Hii nayo nyengine kaka. Duuh! Haya, mie sikualifai napita tu.
mambo Digna? wala usijali,si unajua ukirusha jiwe gizani atayepiga kelele utajua ndo limempata?
 
kaka umetoa siri ili watutafune vizuri,,dah
 
Mzee mwenzangu, nakusalimu kwa jina la Yesu.......................Shalooooom!
 
Bishanga umeniacha hoi. Kwahiyo mtu akikujia kwa stlye hiyo anakuchuna eeh??
sio atanichuna BJ,nshachunwa sana Bishanga ndo mana naongelea uzoefu wangu na buddies wangu,si unajua tukiwa kaunta huwa tunaongelea likes na dislikes?
(actually kuna bibi yangu ndo nammalizia kakibanda kimara mwisho,she truly deserves it)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…