wa college tena? sasa sisi wengine ung'enge mbona haupandii tutawezana na hao vipi?Hehe eti asiombe vocha!! sasa kama binti mwenyewe wa college ataomba gari??
Naomba usije kuiapply kwangu maana hata kibanda changu kule Salasala nitashindwa kukimalizia...Bishanga waguma?nimeipenda sana hii itanifaa
acha woga kamanda,sufuria haiogopi moto,Daughter we mwingie tu mkielewana mambo ya kumalizia kibanda salasala baadae,mtoto afurahi kwanza.Naomba usije kuiapply kwangu maana hata kibanda changu kule Salasala nitashindwa kukimalizia...
we ni noma, au majina yamefanana tu ? duh kajitahidi na hiyo IV mana hapo cheti anapata kuliko angetaga yaiChonde chonde....
Mi niko busy nafuikuzia hiki kifaa cha magogoni.... nikikamata hiki najua ntaambulia japo ukuu wa mkoa. Hapo sasa ndo ntaweza kuchunwa na kina Sweetlady.....
S0298 FEZA GIRLS' SECONDARY SCHOOL
DIV-I = 23 DIV-II = 7 DIV-III = 5 DIV-IV = 1 FLD = 0
[TABLE="class: cms_table"]
[TR]
[TD]S0298/0025[/TD]
[TD]F[/TD]
[TD]MWANAASHA JAKAYA KIKWETE[/TD]
[TD]27[/TD]
[TD]IV[/TD]
[TD]CIV-D HIST-F GEO-D KISW-D ENGL-C LIT ENG-D BIO-C B/MATH-F COMM-F[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
hehehe..... kiazi mbatata!Hii shule in IV moja tu..kwa hiyo ni huyu dogo tu aliyepata four.. Atakuwa kiazi kweli kweli..
ndo mana umefeli fom4,si unaona matokeo yako hapo juu?
Kinamama,mabuzi yako kibao mjini ila dada zangu sa ingine mnayakosea.Ukitaka kuyachuna kisawasawa hebu fuata mwongozo huu:
1.Target: Mwindaji mzuri hutambua swala aliyenona kabla hajarusha mshale.Hakikisha unayem target anazo na pia awe mtoaji.
2.6x6: Ashakum si matusi..'ukitaka kuchuna buzi na kut........bana ujue...it is that simple.
3.Usafi: kuwa msafi saa zote,mwilini na nyumbani,weka investment katika hili,italipa,fanya shopping za ukweli,saluni za ukweli.
4.Omba omba: Hata siku moja buzi lako usiliombe vocha,utajishushia thamani yako kwake,target mambo makubwa.
5.Mapishi:Usipende kula bar na bwanako.M encourage ale nyumbani kwako na umpikie a la uzi wa Ashadii to Cheusimangala.
6.Zawadi: Sio unapokea tuuuuuu unapokea,siku moja moja m surprise na ka zawadi (hasa intimate),ataku value zaidi.
7.Kujipendekeza:Jipendekeze kwa wadogo zake wa kiume,watalinda mahusiano yenu,wa kike kaa nao mbali!
8.Kununa: Kuwa full mnafiki,hata akuudhi vipi jitie hamnazo,nyumbani anuniwe na kwako?
9.Mkewe: Kwa usalama wako hakikisha unamfahamu lakini keep distance,vinginevyo vitabumbuluka na utaachwa.
10.Mashost: Marufuku buzi lako kuzoeana na mashost zako,atawalamba,hasa wakionea gere matunzo yake kwako.
11.Kuridhika:Usiwe too demanding, utam put off,jua ni muda gani muafaka wa kumwomba hela na ni wakati gani anazo.
12.Miradi:Usikurupuke,siku ukimwomba akuanzishie mradi hakikisha ni mradi kweli kweli wa kukutoa.
13.Kalumanzila: Never!achana na uchawi,utapoteza bure tu hela yako na indeed akigundua atakupiga chini fasta.
HITIMISHOBuzi lenyewe kama ni la ukweli kama Bishanga ukienda nalo vizuri kwa kuzingatia misingi hii,uongo kama angalau utaambulia kama sio ka three bedroom house Bunju basi itakuwa apartment Masaki.
Nawatakia maandalizi mema ya valentino!
Chonde chonde....
Mi niko busy nafuikuzia hiki kifaa cha magogoni.... nikikamata hiki najua ntaambulia japo ukuu wa mkoa. Hapo sasa ndo ntaweza kuchunwa na kina Sweetlady.....
S0298 FEZA GIRLS' SECONDARY SCHOOL
DIV-I = 23 DIV-II = 7 DIV-III = 5 DIV-IV = 1 FLD = 0
[TABLE="class: cms_table"]
[TR]
[TD]S0298/0025
[/TD]
[TD]F
[/TD]
[TD]MWANAASHA JAKAYA KIKWETE
[/TD]
[TD]27
[/TD]
[TD]IV
[/TD]
[TD]CIV-D HIST-F GEO-D KISW-D ENGL-C LIT ENG-D BIO-C B/MATH-F COMM-F
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]