Atakijulia wapi wakati kasomea Marekani?!Mmh kumbe hajui vizuri kiswahili
Mmh haayaAtakijulia wapi wakati kasomea Marekani?!
AiseeAtakijulia wapi wakati kasomea Marekani?!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mmh kumbe hajui vizuri kiswahili
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wadada wote wa bongo masupa star hawajui kiswahil vizur
Ajabu yenyewe ni hivi hawajui Kiswahili vizuri wanachomekea maneno ya Kiingereza, hapo hapo hawawezi kunyoosha Kiingereza moja kwa moja. Ni mchanganyiko wa kunde, choroko na maharage pamoja.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wadada wote wa bongo masupa star hawajui kiswahil vizur