Ukitaka kumuoa Lulu lazima uwe na vitu hivi, msikie mwenyewe hapa

hakuna jipya utazeeka ndio utaona umuhim wa mume aliyetayari kukuoa.weka ustaa pembeni pata ndoa yako
 
fake life,alafu bongo yenyewe nyoso, vumbi,jua,pesa ya madafu,maisha ya bahati na sibu,talent inapohamia katikati ya mapaja,blind future..!!!bongo movie wata act mpaka siku wana pass away..!!
 
M nachkuia sna watu wanaochngany kisw na lugha nyngn ilihal wanajua kisw vzr kbs sianyooshe kimoja tumuelewe
 
Alikimbia tohara alikuwa jirani yngu kule moshi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…