Tausi Mzalendo
JF-Expert Member
- May 23, 2010
- 1,470
- 722
Sasa kama anafanya kama Bata nisimwambie.... Mweh! Mie nataka kufikishwa kileleni , halafu analeta mapozi................usharobaro wake huko huko..........LOL
Ngoja nimwambie my wife leo anikosoe nione inakuaje .......
hata mwanamke ni hivyohivyo... we mwambie una nanihii kama nanihii au nanihii uone depressionNaona wanaume wametaharuki kwa hicho kichwa cha habari .Jamaniee sina maana hiyo! Namaanisha ukitaka kumuua mwanaume kisaikolojia na sio kwa kumtoa roho Mweh!
Inaelezwa kwamba kutokana na maumbile mwanaume hujiona ni mkamilifu wa kila jambo, kumbe sio kweli. Ukitaka kumuua mwanaume kisaikolojia, basi mkosoe, hapo ndipo lilipo tatizo. Mwanaume akikosolea hujiona kama amepoteza uanaume wake, na hasa kama anayemkosoa awe ni mwanamke, ndio anakuwa kwishnei kabisa.
Na kama kukosolewa huko kutafanywa na mwanamke wakiwa kwenye tendo la kujaamiana hapo ngoma italala doro na haitasimama kabisa kutokana tafakari za kukosolewa .. Yaani wao kukosolewa na mwanamke hukuchukulia kama aina fulani ya udhalilishaji, na kichwani mwao huenda maswali mengi sana ya kuhoji ukamilifu wao.
Si kama mwanamke akikosolewa haumii, la hasha, huumia sana, lakini kiwango cha maumivu hutofautiana sana na kile wanachopata wanaume. Wanawake wamezoeaa kukosolewa tangu utotoni, kwa hiyo kwao hiyo sio ishu tena, kwani mfumo dume umewafanya waikubali hali hiyo pasi na hiyari yao.
tuombe msamaha tafadhali, si wanaume wote mazeeWanaume wote akili zao za kimagwanda hawapendi kukosolewa.
tuombe msamaha tafadhali, si wanaume wote mazee
mwanamke mwambie huwezi kukatika kama mariam....lol
oooops, huyo ni kimope!!!FF ni mazee?
Kwani Wanaume tumekuwa Miungu mpaka tujione kama hatustahili kukosolewa pale tunapokosea? Mbona wengi tu hukubali makosa yao wanapokosolewa na wengine hata kuomba samahani kwa wale waliowakosea kama ni GF, Mke etc...Wanaume ni binadamu hivyo hatuko perfect na tuna mapungufu mengi tu ikiwemo hilo la kufanya makosa mbali mbali.
Vipi Mura hujambo?Ukinikosoa nakutwanga makofi...over
Siyo wanaume tu, hakuna anayependa kukosolewaMmmmh! Kwahiyo wanaume hampendi kukosolewa?
Mwambie tu mbona kwa fulani ilikuwa inatosha ni kwako tu ndoAsume mpo katikati ya malavidavi halafu my waifu wako anakuambia mbona una kananihii kadogo. Hivi utajisikiaje?