Ukitaka kumuua mwanaume kisaikolojia!


hivi hadi uwe na mwazo ya kumkosoa wakati wa kujaamiana huko ni kujaamiana au bora liende tu..................................

Tunaaswa ya kuwa...................................."Wives, likewise, be submissive to your husbands, that even if some do not obey the word, they, without a word, may be won by the conduct of their wives......................When they observe your chasten conduct accompanied by fear................Do not let your adornment be merely outward-arranging the hair and wearing gold, or putting on fine apparel......................Rather let it be of the heart, with the incorruptible beauty of a gentle and quiet spirit, which is very precious in the sight of God." 1 Peter 3:1-4
 
BAK unanchekesha (FF, 2011). unadhani kila kinachopita na sarawili ni mwanaume? mwanaume asiyekubali challenge anaitwa 'mvulana'. lucky u u ar man enough to accept challenges from a woman if nt ur woman!

 
Kumkosoa mtu ni vizuri kusudi kuweza kumbadirisha mfano kitabia,kiutendaji na mwenendo wa mtu.Kukubali kukosolewa kunaitaji mtu awe na humility kwani watu wengi hawapendi kujurishwa mapungufu yao kwani wengi ujiona wakamilifu kitu ambacho si sahii.
Jambo la muhimu ambalo wakosoaji hawazingatii ni lugha gani ya kutumia,wakati halali na mahali gani pakumkosoa mtu.Watu wengi badara ya kukosowa uwa tunamlaum mtu then kukosoa ni lazima uzingatie mambo manne lugha,wakati,sehemu na nafasi.Muhimu sana lazima katika kukosoa utoe suruhu au mbadara bila mbadara utakuwa umelaum tu.
 
Halo halooo....... ndiyo shoga..... hawana ubavu hawa, wanajikweza tu............

Ndo mawazo yenuu?? Nikosoe mimi sasa uone, kwanza ndo ishu itasimama masaa zaidi ya ma3, kazi kwako ulienikosoa,
 

na ukitaka kumuua mwanamke kisaikolojia na ajione hafana na ni m'mbaya... Mwambie 'WEWE NI MNENE' sijui kwanini hawapendi. Sio wote, bali wengi wao hawapendi wawe wanene.
 

Kama unataka mangumi fuata huu ushauri.Kwan maisha ya ndoa ni mashindano mpaka umkosoe vibaya mmeo?
 
Sasa kama anafanya kama Bata nisimwambie.... Mweh! Mie nataka kufikishwa kileleni , halafu analeta mapozi................usharobaro wake huko huko..........LOL

Vukani umenichanganya kidogo, sasa unataka akufikishe kileleni hapo hapo umesema ukimkososa inalala doro hebu itakuwaje hapo nieleweshe mwenzio
 
Kuna muda wakumsema mtu sio kila mahali na kila wakati be careful wewe ndo nyie hadi muda wakula unamsema mtu jifunze mkimaliza gemu mwambie na sio kwakulalamika okey!
 
Sasa kama anafanya kama Bata nisimwambie.... Mweh! Mie nataka kufikishwa kileleni , halafu analeta mapozi................usharobaro wake huko huko..........LOL

e bana ee ,you must be joking,mwanaume huwa haojiwi umahiri wake kwenye mambo ya 6x6,wanaume wote huwa tunajiona tumekamillika,na ukitaka uvunje ndoa yako fasta mbeze mwanaume katika hili,atakutosa na kumtafuta atakayemsifia hata kama ni vya uongo.
 
Mwambie tu mbona kwa fulani ilikuwa inatosha ni kwako tu ndo
inakuwa hivi lakini nimepita sehemu 100 sijakutana na bahari pana
kama hii unaogelea mpaka unataka kumezwa na maji!


Weeeeeeeeeeeeeeeeee?kuna vya kuambiana sehemu kama hiyo,
kama ndo mm tunaonyeshana ubavu hapohapo........na mchezo kwisha
usinitafute tena.
 
...................vukani kasema so ni kweli je kama imework kwake so cc kwann isifanye kazi loh!

yale yalee wanaume mko kaunta bar mnajisifia mnavyowapiga wenzenu,'ujinga mi staki mwanamke akiniuliza ulikuwa wapi mi namtwanga mingumi' anasema Nyaningabu,Bishanga na wewe unafika kwako unaulizwa vipi umechelewa unarusha ngumi,kumbe Nyaningabu muasisi wa sera ya mijigumi na mateke siri moyoni akiwa njiani kwenda home huwa anapitia american chips anabeba chipskuku ya wife na msamaha anaanza kuombea mlangoni,kwa Bishanga kunabomoka kwa Nyaningabu kunajengeka, kalaghabao aminata iga ufe!
 

umejitetea vizuri.
 

Mkuu hata mkeo akwambie perfomance yako kitandani ni below par utaona ni sawa tu? kudadadeki utamtosa tu!
 
meaning...?
FF anavutiwa sana na wanaume wa magwanda. only if she was given a choice...

Magwanda orijino nimeyavaa sana enzi za JKT, wala hayanstui. Wewe siku hizo hujazaliwa au ulikuwa unasoma chekechea kijana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…