Vukani umenichanganya kidogo, sasa unataka akufikishe kileleni hapo hapo umesema ukimkososa inalala doro hebu itakuwaje hapo nieleweshe mwenzio
Sasa kama mtu anafanya kama Bata utafikaje kileleni?.............ndio maana inabidi akosolewe ili mambo yaende mswano....... lakini bahati mbaya ndio hivyo, inalala doro...........jamani mkikosolewa mjikaze kiume..............Ndio mapenzi yenyewe hayo
Sasa kama mtu anafanya kama Bata utafikaje kileleni?.............ndio maana inabidi akosolewe ili mambo yaende mswano....... lakini bahati mbaya ndio hivyo, inalala doro...........jamani mkikosolewa mjikaze kiume..............Ndio mapenzi yenyewe hayo
Asume mpo katikati ya malavidavi halafu my waifu wako anakuambia mbona una kananihii kadogo. Hivi utajisikiaje?
Na kama kukosolewa huko kutafanywa na mwanamke wakiwa kwenye tendo la kujaamiana hapo ngoma italala doro na haitasimama kabisa kutokana tafakari za kukosolewa ..
.
vukani, in red hapo...
sio wote bana mi mbona niko tofauti...
kama vp niPM uombe game la ushindani nikuthibitishie hili, utapigwa nyingi tu kama alivyofanywa aseno na man u...
Sio kweli... inategemea na the way unamkosoa. Nadhani wanaume kama wanawake hawapendi kukosewa heshima. sasa wewe unamkosoa mwenzio katika tendo la ndoa alafu unategemea atakua bado imara? nenda ukafundwe upya mamaa
Jamani mbona mimi ni mnene na nikoproud, mwanamke gani aliyefaidhaishwa kwa kuambiwa mnene? kweli bianadamu tunatofautiana.....na ukitaka kumuua mwanamke kisaikolojia na ajione hafana na ni m'mbaya... Mwambie 'WEWE NI MNENE' sijui kwanini hawapendi. Sio wote, bali wengi wao hawapendi wawe wanene.
Mkuu hata mkeo akwambie perfomance yako kitandani ni below par utaona ni sawa tu? kudadadeki utamtosa tu!
Magwanda orijino nimeyavaa sana enzi za JKT, wala hayanstui. Wewe siku hizo hujazaliwa au ulikuwa unasoma chekechea kijana.
kuna shangingi moja aliwahi kuniambia kuwa simkanyagi vizuri,nikamuambia mie nimezoea kuogelea kwenye maji ya bahari haya ya mto sijayazoea. Kama unataka nipe maji ya bahari uone ninavyoogelea
Wakali huwa hawachongi sana................. akikupa sana sana utapiga Fyongo tu..............