Ukitaka kuoa tafuta bikra

Kama ndo hivyo mkuu nakushauri usiwe unawafyotoa watoto wa watu/ kuwakata utepreee
 
Kwa kizazi hiki cha utandawazi kupata mwanamke bikra ni taabu kutokana na mazingira. Kwa miaka hiyo iliwezekana.

Lakini unaweza oa huyo bikra naye kutokana na mazingira akawa mjanja ukachapiwa tu, akiingia mtandaoni akasikia habari za vibamia sijui matango n.k atataka na yeye ajaribu.

Tatizo sio bikra shida ni mazingira ya karne ya 21 na utandawazi.
 
Ni kweli Karne hii mazingira yanasababisha ndoa zisidumu ama kuwa na mtafaruku.kupata bikra Sasa ni Kama kutafuta sindano majanini ila Ni kitu ambacho kinawezekana.
 
Umenena vyema sana mkuu
 
Bikra muhimu sana unaweza kuoa mwanamke hana bikra nyuma.
 
Bikra muhimu sana unaweza kuoa mwanamke hana bikra nyuma.
Duh hiyo ya nyuma Sasa kitu kingine!Kuna demu nilimtesti kwamba kwa sababu ameshatolewa bikra ya mbele itakua vyema akinitunuku ya nyuma ila aweananiheshimu Kama mwanaume wa kwanza nyuma! Baada ya kumbembeleza Sana kakubali! Wanawake Hawa cheza na akili zao tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…