Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Shadeeya ukuje hukuSo jitazame kwanza wewe kuwa mume bora ndipo sasa uanze kufikiria kupata mke bora
✌️So jitazame kwanza wewe kuwa mume bora ndipo sasa uanze kufikiria kupata mke bora
Sie tunafuata muongozo wao. Hivyo wakiona mambo si mambo wajue ni tabia zao zimeback fire.Ndo wanaoharibu ndoa hao na kuwasingizia wanawake
Wewe uje nikuoe huku backbenchermarriage coaches wameejazana humu ila hawaelewi maisha ya ndoa yanahitaji nini!
Rudisha ile avatar ambayo umevaa mabati yenye kutu ulitokelezea unyama sanaNdo wanaoharibu ndoa hao na kuwasingizia wanawake
Oya joined yesterday salimia wakubwawadogo zangu hamjambo🫲
Watu washafika floor ya 4 bila ndoa hapo kubakia tu kulea watoto waliobahatika kuwapata basiLakini situlisha kubaliana kwamba ndoa ni ukatili...🙄
Hakuna mwalimu wa maisha, sote tunaishi mara moja tu. Leta ushahidi wa maisha yako yalopita na experience ya ndoa yako, kama huna futa uzi.Kumekuwa na kasumba fulani hivi kwa wanaume wengi wakiwa wanatoa vigezo vyao vya aina ya mwanamke wanahitaji kuwa mke, lakini my frendi mwanaume ukitaka kupata mke bora lazima ujitazame wewe je ni mume bora?
Sio wewe unataka mwanamke alishika imani ya dini aende Kanisani au Msikitini, lakini wewe hujawahi kwenda kabisa na hauna huo mpango!
So jitazame kwanza wewe kuwa mume bora ndipo sasa uanze kufikiria kupata mke bora
Wewe tutachinjana live live!Wewe uje nikuoe huku backbencher
oy,acha dharau sawa? Salimia kaka zako.wadogo zangu hamjambo