Ukitaka kutengwa na wasanii jiweke karibu na WCB

WCB ni WCB kiamba mkumba wewe, Diamond kafanya show peke yake Kahama kwa masaa matano uwanja ulijaa ajabu, Geita kwa wanyamwezi kule ndio balaa
Ishu ya diamond kufanya show na kujaza siyo ishu kaka haijaanza leo wala jana huko kahama ali kiba alishaenda kajaza na hata akienda aslay atajaza kaka huko countryside wasanii kuwaona ni nadra watajaa tu tuongee kwenye hiyo mada hapo juu boya wewe
 
Mzee baba ulichoandika hapa Ni sawa na ushuzi + mavi na sijui km huta pata hata like 2 hata watu kukuunga mkono Kwanza kabisa huweleweki unasimamia Nini kwenye hoja Cha pili umeonesha we Ni mashabiki wa kiba cha tatu umeongea vitu visivyo na uhasilia mzee kajipange tena ndo uje kucomment
 
Umeona idadi ya watu wa CMG tu? Hujaona wa times na IPP? Maana waliotoka times ni wengi zaidi.

Kuna Calypso, Jonijoo wote hawa wametoka times, kuna Mo town sanya na wengine mafundi kibaooo
Sikiliza mwanangu mimi nafuatlia hii industry ya bongo fleva na media kwa ujumla vizuri sana..hawa watangazaji unaonitajia nawajua before..sio watangazaji wabaya,ila pia sio wa level za kutisha mzee..though naheshimu wanachokifanya
 
Anhaa huwa mnaandika kupata likes siyo?..mbona aliyea dika kaonesha yy n mshabiki wa Mondy so mm kuonesha n mshabiki wa kiba kosa?..we boya kweli i just dnt want ur likes me nawaambia kilichopo na kwa jins ilivyowachoma it seems mmegundua kuna ukweli na UMEWACHOMA..UKWELI UNAUMA BRO...pokea ukweli japo mchungu.
 
Diamond hajajiweka mbali na Wasanii wenzake,hivi niambie msanii gani anaweza kukuunganisha na msanii mwengine wa nchi nyingine kama si Diamond ,mnyonge myongeni haki yake mpeni kwanza ww NAKUJUA HUMPENDI DIAMOND NA HUJAWAHI KUMPENDA.

Lakini Mh Temba kishwahi kukiri nyimbo yake na chege,Diamond ndiye aliyewaunganisha na Dj Maphorisa ,hivi nani kashawahi kufanya hivyo kwa wasanii wenzake?Shetta yule Mondi kamuunganisha na KCEE ktk Shikorobo hivi nani kashafanya kama hivi,Madee ana nyimbo yake kafanya na Techno Madee mwenyewe kwa Kinywa chake anamshukuru Diamond.Sasa Diamond angekuwa anajiweka mbali na wasanii hao akina Chege,Madee ,Temba na Shetta hizo collabo wangezipata?.

Mondi kamvimbia nani?au kutaka kutetea maslahi yako ndio kuvimba mbona hata akina Sugu na Jide washawahi kufanya kama Mondi au kafanya Mondi ndio tatizo.

Kijana mziki ni biashara kila mtu ana terms zake,kama hamtaelewana basi msiwekeane vinyongo,dogo Mondi mziki ni biashara yake mwacheni apange terms zake,kwani yy kawekeza hela yake,utake usitake hamna msanii mwenye Exposure kama Diamond,hajasoma lakini kupitia kutembea nchi nyingi kajifunza vitu vingi jinsi mziki unavyoendeshwa ktk nchi nyinginena tatizo washikadau wanataka kuendesha mziki KISHIKAJI na si KIPROFFESSIONAL (kibiashara)zaidi na dogo anachogombana nao mziki wake yy anautizama kama biashara.
 
Ishu ya diamond kufanya show na kujaza siyo ishu kaka haijaanza leo wala jana huko kahama ali kiba alishaenda kajaza na hata akienda aslay atajaza kaka huko countryside wasanii kuwaona ni nadra watajaa tu tuongee kwenye hiyo mada hapo juu boya wewe
Hawa jamaa unajua wanashangaza sana..

Sasa kwa level alizofika Diamond ni za kustaajabu yeye kuzaja uwanja huko kahama??..

Tutashangaa akijaza O2 arena UK kule sio kujaza uwanja vijijini huko
 
Mbna we ulichojibu ni sawa na damu ya bleed kaka inno imechangnyika na kojo la fistula.
 
Ishu ya diamond kufanya show na kujaza siyo ishu kaka haijaanza leo wala jana huko kahama ali kiba alishaenda kajaza na hata akienda aslay atajaza kaka huko countryside wasanii kuwaona ni nadra watajaa tu tuongee kwenye hiyo mada hapo juu boya wewe
Acha masikhara wewe, wasanii wanaenda kahama kila kukicha yani kila kuitwako leo kule wasanii wapo kwa sababu ya hela.

Geita ndio balaa, Diamond kiwango cha watu aliojaza alikiba anasubiri hakupata wingi ule ni kufuru Simba alifanya.
Set up ya stage ni international, kiba alifanya kwenye jukwaa la ajabu tafuta clip ulinganishe.

Alikiba sasa hivi akifanya Show siku moja na Harmonize kokote anafunikwa am telling you, Alikiba brand yake anaiuwa yeye mwenyewe, hana namna ipo siku atatinga Wasafi media kutambulisha ngoma
 
Hawa jamaa unajua wanashangaza sana..

Sasa kwa level alizofika Diamond ni za kustaajabu yeye kuzaja uwanja huko kahama??..

Tutashangaa akijaza O2 arena UK kule sio kujaza uwanja vijijini huko
Kahama ni kijijini? Unaona kiba anavyozidi kuishusha Brand yake?
 
Ruge amepass away mmeamisha mpira..hivi sisi wabongo tunashida gani??
Na huyo b12 mbona unamtaja as if ni mungu mtu kwenye huu muziki wa bongo..
Nimeshangaa sana,Twangala Twizzy anahusikaje?angefafanua vizuri
 
Kwamba WCB mnamuogopa B12? Kwamba B12 amharibie Kusaga? Au hujui WCB ni ya Kusaga?
B12 ndo amewaambia EATV na EFM wamfungie Diamond?
 
Ki profesheno bongo kaka?...umekuja hapa na kelele nyiiiiiii vi bt mwisho wa aiku WCB mna matatizo mnavimba kuanzia wasanii wenu had mashabiki asa mtawasumbua mazumbukuku aiyo qatu na akili zao na kama mnajihisi ur the best among others hizi post za kulalamika mnatengwa sijui nn hatutak kuziona afu me nimpende diamond au ali kiba nna undugu nao kaka?..me nakupa facts ukitaka pokea ukitaka achana nayo ila punguzeni kuvimba kunguni nyie WATU WATAWACHUNIA TU VIZURI TUU pumbav.
 
Jioe moyooo bayo n mataminio yako aende oman akapige show huyo mmakonde wenu pumnav unazungumzia kahama??..umechanganyikiwa eeeh
 
Kahama ni kijijini? Unaona kiba anavyozidi kuishusha Brand yake?
Kahama sio kijijini ariff,pako yente sana tena pamechangamka kuliko ata Shytown mjini,pia kahama kuna jax/pesa mingi coz kuna migodi ya madini kama Buzwagi so chalii kakosea kusema ni kijijini.
 
Hakuna mafanikio atakayopata zaidi ya hapo kinidhamu na kiubunifu kama ilivyokuwa awali muda na ukitaka umaarufu pasipo mkwanja nenda kule utakuwa maarufu sana hata utoe nyimbo mbovu kila siku ila muhimu kuwa na mkataba unaoeleweka sio wakunufaisha kampuni kwa zawadi ya gari au kupangishiwa nyumba ya 1m per month utabaki masikini mwisho wa siku
 
Debe tupu.Kwa hiyo ww unataka mziki uendeshwe kishkaji?Alafu kesho mnatakata mziki wenu uwende ngazi ya kimataifa wakati hela ya kufanya investment hamna.

Sioni facts hapa,facts ambazo hazina tangible evidence,mi hapa naziona hisia zilizo jaa Chuki.Lakini hata ukichukia ukweli haubadiliki .
 
Usisome tu juujuu kama mtoto wa chekechea
Soma maneno yako👇
Hawa jamaa unajua wanashangaza sana..

Sasa kwa level alizofika Diamond ni za kustaajabu yeye kuzaja uwanja huko kahama??..

Tutashangaa akijaza O2 arena UK kule sio kujaza uwanja vijijini huko
Umemaanisha kahama ni kijijini pengine hupajui huyu jamaa alijaza vichwa, Sumbawanga wanasubiri.
Kujaza O2 si rahisi kutokana na language barrier
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…