Ukitaka kuwa na Furaha hasa ya Kiburudani hapa duniani penda vifuatavyo na wafuatao

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
1. Kuwa Mshabiki wa Liverpool FC
2. Kuwa Shabiki wa Simba SC
3. Kuwa Shabiki wa Mchezaji Lionel Messi
4. Kuwa Shabiki wa Mchezaji Sadio Mane
5. Ipende sana Bendi ya Wenge Musica BCBG yake JB Mpiana
6. Mpende sana Mghani ( Rapa ) wa Bendi ya Wenge BCBG Pitshou Lisimo ( GENTAMYCINE )
7. Mkubali mno Kocha Jurgen Klopp


Ni hayo tu kwa asubuhi hii na acheni GENTAMYCINE nizidi kuwa na Furaha.

Nawasilisha.
 
Kama hivyo vyote sio hobby yangu je
 
Ndio unini huo upopoma

Wewe ni Mgeni Kwangu hadi leo hii ushindwe Kujua / Kung'amua hilo neno langu pendwa hapa Jamvini? Watakusaidia wanaolielewa vyema muda si mrefu.
 
Reactions: sab
Wewe ni Mgeni Kwangu hadi leo hii ushindwe Kujua / Kung'amua hilo neno langu pendwa hapa Jamvini? Watakusaidia wanaolielewa vyema muda si mrefu.
Sawa, Mr upopoma
 
Namba 2 sawa, ila vingine vyote vimejaa uroporopo![emoji11]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namba 2,3 ndo zangu hizo..Yaani furaha mpaka kwa moyo..!
 

Namba 3 iko poa zaidi...

Ingelikuwa mtu mwingine hapo angelist kitu cha kwanza kabisa "kuwa na kademu" 😀😀😀 ila wewe hunaga huo ujinga...big up sana!
 
Umeisahau CCM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kula TANO mkuu, umepita humo humo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…