msumeno
JF-Expert Member
- Aug 3, 2009
- 2,826
- 1,734
Watani zetu ni civilized sana , kwa mamabo mengi kama umahili wa lugha ya kimombo na ''mavazi'' nk. ila ukitaka uwaone u... civilized wao wewe subiri wakati wanafanya chaguzi zao ndio utaona majukwaa yao yaki pambwa na u-cilivilised huo..... AMANI KWENYU WATANI KATIKA KIPINDI HIKI CHA KUELEKEA KWENYE UCHAGUZI MKUU!!!!!!!