Ukitaka kwenda haraka nenda pekeako

Ukitaka kwenda haraka nenda pekeako

BRN

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2013
Posts
5,188
Reaction score
6,633
Ukitaka kwenda haraka nenda pekeako,lakini ukitaka kufika mbali nenda na wenzako.
Ni msemo wa kiswahili na leo tarehe 06 April ulinukuliwa na Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakati wa hafla ya kuwaapisha Makatibu Wakuu na Manaibu wao Ikulu ndogo Dar es aalaam.
Kwa mintaarafu hiyo, huu sasa ndio mwelekeo mpya wa kidiplomasia na mahusiano ya nchi za nje.
Naona ni mwanzo mzuri huu maana Tanzania haipo yenyewe kama kisiwa.
...na kazi iendelee...
 
Back
Top Bottom