Ukitaka mafanikio, acha kuahirisha mambo

Jmn nafikiria kufanya biashara ya vitenge na vipodozi(lotion) msaada wa mawazo tafadhali.
 
Kuna kitu nimejifunza hapo, huu ndio mchango sahihi kwa wanajamii toka kwa great thinkers
 
procrastination dah km niugonjwa bhasi kwangu umekubuhu maanaa[emoji1544]
 
Binafisi nimejifunza kitu kutoka uzi huu....
 
Andiko zuri sana. Ila unaweza ukaanza jambo vizuri tu watu wengine wakakukwamisha au kupunguza kasi yako!!
 
dah yani cjawahi kuona mtu wise na aliyetoa kitu muhimu kma wew .. hiv ndivyo inavyotakiwa .. sio porojo za siasa tu kila cku .. keep it up bob
 
I can not recall the name of the book which was very good by the way, but thanks for the reminder, very useful.

"Think and Grow Rich"

Hii message ni powerful. Watu wengi tunapiga marktime kwa sababu tunaugua hako kaugonjwa.
 
"Think and Grow Rich"

Hii message ni powerful. Watu wengi tunapiga marktime kwa sababu tunaugua hako kaugonjwa.
Kimeandikwa na mwandishi toka Malysia, exactly Bro. Hakika the Book is very good.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…