GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
DU HABARI KWA UFUPI
Duh!
Ndio mambo yenyewe kumbeSasa hivi ukitaka tu kutoka Kimaisha ama kwa kupewa Pesa au hata siku moja kukumbukwa katika ulimwengu wa ' teuzi ' mtafute tu Dada Mweupe halafu awe na ' Kajishuzi ' fulani kisha mpe namba ya Simu ya Aliko Dangote au Bill Gates au Moise Katumbi Chapwe ikimfikia tu lazima utalamba / utapewa kuanzia Shilingi Milioni 150 kwenda mbele. Bahati mbaya ' Dada ' zangu wote ni ' Weusi ' wa Kutukuka.
Umenipa deal, tulia kwanza NIFANYIE KAZI. Nikipenyeza ni zamu yako ntakupa namba mpaka za watoto wa shangaz kule weupee peMkuu huna Dada Mweupe nimpe namba ya Bill Gates amtumie ' meseji ' niweze nami kupata ' msaada ' wowote ule?
Yule balozi wa nyumba kumi kule uchini, ule weupe wa mkewe umeishia kumtesa kuliko kumpa baraka.
Tumezaliwa madume tupu mkuuMkuu kuna Mtu nataka nimwombe Tsh Milioni 105 tu na nina namba ya ' Tajiri ' mmoja hapa vipi huna Dada Mweupe nimpe namba amtumie kisha akishajulikana ni Yeye na Mimi Keshokutwa tu niingiziwe hiyo Hela katika Akaunti yangu? Ila asiishie tu kuwa Mweupe lakini awe na ' Kajiushuzi ' fulani hivi ili kaweze ' Kumlewesha ' kama siyo hata ' Kumlainisha ' itakaemfikia niipate tu hiyo Shilingi Milioni 105.
Tumezaliwa madume tupu mkuu
Ngoja nitafuteHuna hata ' Mshikaji ' yako yoyote mwenye Dada Mweupe na mwenye ' Kajiushuzi / Kishtobe ' ili nimpe namba ya Simu amtumie ' meseji ' Dangote au Gates niweze kupata msaada tu wa Tsh 105 Milioni?
Usijala Mkuu mm mwenywe sjaelewa ila najua ntaelewa tuu kwa jinsi nlivyona mtiririko wa sms,na nnawajua sana jf vizur ukiona hivyo jua kuna KTU hapa ivyo ntajua tuuNajaribu kuelewa ila sielewi bado
Mnamaanisha nn wakuu??
Niko hapa white nina katako na hips za haja zipoHuna hata ' Mshikaji ' yako yoyote mwenye Dada Mweupe na mwenye ' Kajiushuzi / Kishtobe ' ili nimpe namba ya Simu amtumie ' meseji ' Dangote au Gates niweze kupata msaada tu wa Tsh 105 Milioni?
Ni pm namba zako fastaNiko hapa white nina katako na hips za haja zipo
nipe dili hilo hali mbaya
Genta yuko wapi?Ni pm namba zako fasta