benny gilbert
Senior Member
- Jul 4, 2018
- 110
- 65
Kama title inavyojieleza hapo juu, wengi wanasikia kuhusu AFFILIATE PROGRAM(UUZAJI WA USHIRIKA), ila wanajua ni kuuza bidhaa za wazungu online. Ukitaka kufanikiwa kirahisi kwenye hii biashara dili na kitu kinaitwa "CONTENT MARKETING",
CONTENT MARKETING
1. ENTERNTAIMENT CONTENT
2. EDUCATION CONTENT
Kuuza bidhaa ni kazi sana kuliko kuuza huduma wengi hawajui ilo. Kwa mfano unadili na ENTERNTAIMENT kama "HADITHI" au "Makala za AFYA/BIASHARA" , wengi wanapenda kusoma hadithi kwa burundani na wanasoma makala za baishara kama kujifunza namna ya kufanya biashara na kupata faida , kwaiyo ni rahisi kushirikisha watu wengi zaidi kwasababu umedili na vitu vinavyopenda na watu wengi.
Enterntaiment contents ina FANS wengi sana duniani kuliko sector nyoyote dunuani.
Makampuni yanayotoa affiliate program
1. Amazon
2. Ebay
3. Apple
4. Clinkbank
5. Salesforce
Makampuni yote yana dili na bidhaa, na ni ngumu sana kuuza bidhaa zake kwa watz , labda ujue namna ya kuuza kwa wazungu nako ni gharama kuwapata wateja wa kizungu kujiunga na link yako.
Kwa ufupi ni ngumu sana kuuza bidhaa za hayo makampuni.
Hicho kitu nilikiona kama mzoefu ya hiyo biashara ya UUZAJI WA USHIRIKA, nikaweza kuja na kitu rahisi ambacho kila mtanzania anayetaka kuingiza pesa mtandaoni kwa kushare link kwa kitu ambao wengi wanapenda, inakuwa kwake ni rahisi kuingiza pesa.
Kupokea malipo ni rahisi sana ukilinganisha na website za nje ya nchi ni lazima uwe na bank akaunti(VISA AU MASTERCARD ) ili kupokea pesa zao, kitu ambacho wengi hawana, lakin kila mtu ana laini ya tigo ambayo itamwezesha kujisajili na kupokea malipo yake ya kamisheni ya kushare link kwa marafiki, ndugu na jamaa zako wa facebook.
Kujisajili google "STORIKA" , alafu jisajili uanze leo kuwa bize na kushare link na kuingiza pesa kila siku.
Kamisheni ni 1200 kwa kila unayemshirikisha kujiunga na storika
Kazi ni kwako. Kupanga ni kuchagua
Uliza swali kama hujaelewa, ili usipitwe na pesa kwa kushare link kwa jamaa zako wa facebook.