Ukitaka ukweli ndani ya chochote wanakimbilia ukali kwanza na vitisho

Ukitaka ukweli ndani ya chochote wanakimbilia ukali kwanza na vitisho

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Swala lote kutaka ufahamu kuhusu ukweli wa jambo lolote kuhusu sababu au jambo fulani, basi unaweza kupata tatizo au kushambuliwa au kupotea kabisa

Sehemu zifuatazo:

1: Imani za dini zote
2: Serikali
3: Ukweli au Uongo
4: Historia n.k

Hizi ni sehemu ambazo uwezi kubaki salama duniani
 
Nadhani hapo namba moja uko sahihi kabisa
 
Serikali inaongoza number 1, chukiwa na wote ila Serikali si rahisi kubaki duniani au hata ukibaki utateseka sana
 
Back
Top Bottom