ukitaka usipige kopi notes soma hapa

ukitaka usipige kopi notes soma hapa

Parata

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2011
Posts
3,090
Reaction score
680
Nawapa utundu na maarifa ya namna ya ku save na kuto copy notes za aina yote. Kama unaweza nunua tablet kama ya toshiba, samsung or ipad ipo poa sana. Mimi ndo natumia sana hiyo. Nikitaka naenda stationary napiga picha notes naenda soma, hakikisha tu kama hio gadget yako ipo clear.
 
Acha ubahili kwenye kazi. Badala ya kupunuza gharama kwenye matumizi ya kwenda madisko, unapunguza gharama kweney kazi. Utafeli wewe. Chezea hela na wala siyo kazi by Mpoki.
 
Asa hzo gharama za kununua hyo ipad au tablet si bora upige copy tu.
 
si akili..ni matope.
save kwa kuachana na matumizi yasokua ya msingi kama pombe,mademu wa kuhonga, na madisko..ila notes kununua n muhimu..stationaries allowance unaipeleka wapi?
 
Back
Top Bottom