Nawapa utundu na maarifa ya namna ya ku save na kuto copy notes za aina yote. Kama unaweza nunua tablet kama ya toshiba, samsung or ipad ipo poa sana. Mimi ndo natumia sana hiyo. Nikitaka naenda stationary napiga picha notes naenda soma, hakikisha tu kama hio gadget yako ipo clear.