Ukitamani kuua, kiimani umeua tayari

Ukitamani kuua, kiimani umeua tayari

JERUSALEMU

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2012
Posts
3,114
Reaction score
3,541
Naam wanajamvi,

Niende moja kwa moja kwenye mada. Mkuu wa mkoa wa Mbeya alisikika akiwaambia wazee wa kimila kama wanaweza kuwatengeneza wanaopinga ubinafsishaji wa bandari na wafanye hivyo. Kifupi ametamani wenye mawazo tofauti na yeye wafe hususan Mwabukusi. Mimi nasema kwa kule kutamani mtu asiye na hatia afe, kiimani umeua tayari.

Watu wengi ndani ya CCM wana roho za uuaji. Kule Mtwara walituletea vifaru na kwa hakika walitukomesha. Kuna watu waliuawa mchana kweupee..

Kuna mambo yanahitaji mjadala, siyo nguvu. Sasa huyu Mkuu wa Mkoa wa mbeya amepitiliza.
 
Ukitamanani maana yake umeshafanya.

Nimekosa mimi nimekosa mimi nimekosa sana ,kwa Mawazo ,Kwa Maneno ,kwa vitendo na Kwa kutotimiza wajibu.
 
Back
Top Bottom