Kyambamasimbi
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 762
- 1,597
Habar wana JF. Mara kadhaa nimebahatika kumsikiliza Ethnomusicologist Masoud Masoud wa tbc taifa.
Jamani huyu jamaaa anajua kuchambua Muziki hasa wa zamani, na ala zake za Muziki, Historia na matukio ya enzi hizo. Duuu kweli Mungu amegawa vipaji. Jaribu kumsikiliza hutajuta.
Hewani anakuwa jumamosi kuanzia saa 5 usiku hadi saa 6 jumapili saa 5 hadi na saa 6 mchana na kuanzia jumatatu Hadi ijumaa saa 1100 Hadi 1140 jioni huyu jamaaa sijui kwa nini serikali isimtumie kufundisha utangazaji na Muziki.