Ukitembelea baadhi ya nchi za kiafrika utakutana na misemo hii, kwa mwenye tafsiri atupe

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Posts
3,391
Reaction score
3,849
Mwenye tafsiri ya misemo hii atupe tafadhali.

1. Hasira za uume haziwezi kuvunja uke (Zimbabwe)

2. Hakuna bikira kwenye chumba cha wazazi(Cameroun)

3. Mtoto huchezea matiti kwa mama yake na sio kwa baba yake (Ghana)

4. Kuoa mwanamke mrembo ni sawa na kulima shamba la matunda barabarani (DRC)

5. Mwanamke pekee anayejua wapi mume wake alipo wakati wa usiku ni mjane (Togo)

6. Uume ukisimama hauna aibu (Uganda)

7. Alalaye akiwashwa mkundu huamka ananuka vidole (Kenya)

8. Ukiwaruhusu mbu watagie kwako, kuwabughuzi tu sio kumaliza tatizo (Tanzania)
 
Eti hasira za uume ,??[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ina maana hiyo namba saba ni Mombasa Kenya...?[emoji125][emoji125][emoji125]
 
Namba 1 hata usimamishe vipi utaingiza mwanamke akiamka hapo atahitaji mwanaume mwingine aingize hapo ndio utajua uke una mambo
 
Namba saba ndo kiboko yao wallahi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama namuona makame Fakhi
 
Namba saba ndo kiboko yao wallahi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama namuona makame Fakhi
mkuu ananini huyu mtu? huyo mzee anaheshima kubwa kule Zanzibar. Makame fakhi, maarufu Makame Dumbaki. hofu yangu isijekua umetumia jina hilo kimzaha haliyakua nilamtu hasa
 
Mwanamke ni Maharage, mwenye mapengo pia anajilia tu, bila wasiwasi!
 
Hizo mamba zote ni chafu kasoro ya bongo Tz.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…