Hivi hiyo open API ya pesapal ipoje ipoje, tunahitaji uzi kama hutojali brazaKama utaweka app yako feature ya In app purchase,
Google wanalazimisha malipo yafanyike kwa kwa njia yao ya Google Play's billing system overview
Hapo wanakata asilimia 30, na ukienda kinyume google wanaitoa app yako play store..
Pesapal ni kampuni nyingine tofauti na m-pesa.Hivi hiyo open API ya pesapal ipoje ipoje, tunahitaji uzi kama hutojali braza
Physical products, In app purchase ni ile unakuta inabidi ulipie ili kupata huduma fulani kwenye applicationShukrani mkuu. Hivi vitu kama muziki, vitabu nk. Huhesabika kama in app purchase? Mtu ananunua na kusikiliza humo kwenye app au kusoma humo kwenye app, inahesabika no in app purchase?
Ndio kama hivyo vitabu ni e-books, hizo zinahesabika digital products labda kama hayo mafile unayouza kutumia platform nyingine. Lakini kama una-host kila kitu mwenyewe google wanalazimisha utumie mfumo wao hata netflix ni wahanga wa hili.Shukrani mkuu. Hivi vitu kama muziki, vitabu nk. Huhesabika kama in app purchase? Mtu ananunua na kusikiliza humo kwenye app au kusoma humo kwenye app, inahesabika no in app purchase?
e-book, music, ramani za kwenye app hizo zinahesabika kama digital goods.Physical products, In app purchase ni ile unakuta inabidi ulipie ili kupata huduma fulani kwenye application
Nimesoma hapo, imekaa vibaya sana. Sasa sijui hiyo google play billing system kama itakuwa rafiki kwa watanzania? Sijui kama inaweza kuungwa na hizi mpesa?e-book, music, ramani za kwenye app hizo zinahesabika kama digital goods.
Listening to Developer Feedback to Improve Google Play
News and insights on the Android platform, developer tools, and events.android-developers.googleblog.com
Netflix wamelazimishwa kutumia google billing.
Netflix can no longer avoid Google Play in-app purchase fees
The Google Play Store is making clarifications to its policy around charging developers service fees for in-app purchases and Netflix will feel the effects. | The Google Play Store is making clarifications to its policy around charging developers service fees for in-app purchases and Netflix...www.fiercevideo.com
Kama unataka kuepuka haya, usiweke app yako playstore.
Waelimishe watumiaji jinsi ya kujiunga na m-pesa master card. Tengeneza activity itakayokuwa ni intsruction ya m-pesa.Nimesoma hapo, imekaa vibaya sana. Sasa sijui hiyo google play billing system kama itakuwa rafiki kwa watanzania? Sijui kama inaweza kuungwa na hizi mpesa?
mpesa mastercard pesa inatoka mpesa to card then anawalipa Google the Google wanakulipa weweUnaweza kuwa umetengeneza Application ya Mjziki, Michoro, Ramani za Nyumba, Vitabu, Video au chochote kile.
Ku access hivyo vitu mtu inabidi alipie. Unatumia njia gani watu wafanye malipo kirahisi?
Ukizingatia kuwa watanzania pesa zao nyingi zipo kwenye simu (M-Pesa etc).
Hii mpesa master card ni nzuri sana. Nilifanya malipo ya kuweka app play store kupitia hii. Tatizo ni kuwa watu wengi hawajahamasika kuitumia.mpesa mastercard pesa inatoka mpesa to card then anawalipa Google the Google wanakulipa wewe
ila mbona Voda wanatuma sms nyingi tu kuhusu hii kitu sidhani tatizo sio njia za malipo tatizo wabongo wengi bado hawakimbizani na teknolojia Sasa Kama kikuu tu watuu wanaogopa kununua vitu at the sametime wanaona umeagiza na kimekufikia na umetumia mpesa ya kawida tu tatizo lipo kwenye online business in general.Hii mpesa master card ni nzuri sana. Nilifanya malipo ya kuweka app play store kupitia hii. Tatizo ni kuwa watu wengi hawajahamasika kuitumia.
Labda wahamasishwe kama sana kama mkuu alivyosema hapo juu.
ila mbona Voda wanatuma sms nyingi tu kuhusu hii kitu sidhani tatizo sio njia za malipo tatizo wabongo wengi bado hawakimbizani na teknolojia Sasa Kama kikuu tu watuu wanaogopa kununua vitu at the sametime wanaona umeagiza na kimekufikia na umetumia mpesa ya kawida tu tatizo lipo kweny online business in general.
google wameamua kula na programmerse-book, music, ramani za kwenye app hizo zinahesabika kama digital goods.
Listening to Developer Feedback to Improve Google Play
News and insights on the Android platform, developer tools, and events.android-developers.googleblog.com
Netflix wamelazimishwa kutumia google billing.
Netflix can no longer avoid Google Play in-app purchase fees
The Google Play Store is making clarifications to its policy around charging developers service fees for in-app purchases and Netflix will feel the effects. | The Google Play Store is making clarifications to its policy around charging developers service fees for in-app purchases and Netflix...www.fiercevideo.com
Kama unataka kuepuka haya, usiweke app yako playstore.
e-book, music, ramani za kwenye app hizo zinahesabika kama digital goods.
Listening to Developer Feedback to Improve Google Play
News and insights on the Android platform, developer tools, and events.android-developers.googleblog.com
Netflix wamelazimishwa kutumia google billing.
Netflix can no longer avoid Google Play in-app purchase fees
The Google Play Store is making clarifications to its policy around charging developers service fees for in-app purchases and Netflix will feel the effects. | The Google Play Store is making clarifications to its policy around charging developers service fees for in-app purchases and Netflix...www.fiercevideo.com
Kama unataka kuepuka haya, usiweke app yako playstore.
Weka apk file kwenye google drive halafu share link ya apk file ya app yako kwa walengwa.nisipoieka playstore watumiaji wangu wataipata wapi?