Ukitoa Kariakoo na Posta Bolt bado inalipa?

Dr wa Kaliua

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2020
Posts
1,634
Reaction score
3,833
Habari JF,

Kwa upande wangu nafahamu kuwa biashara ya bolt ipo maeneo yenye mkusanyiko mkubwa.

Kwa sasa kuna katazo la kuingia Mjini kwa Bajaj na bodaboda.

Wazoefu naomba ufafanuzi juu ya hilo.

Matusi yanaruhusiwa.
 
Habari JF
Kwa upande Wangu nafahamu kuwa Biashara ya bolt ipo maeneo yenye mkusanyiko mkubwa

Kwa Sasa Kuna katazo la kuingia Mjini kwa Bajaj na bodaboda

Wazoefu naomba ufafanuzi juu ya Hilo

Matusi yanaruhusiwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] matusi ruksa eeeh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…