Ukitoa kilimo na ufugaji kuna fursa gani nyingine za kuboresha maisha?

Hehe heee

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2017
Posts
213
Reaction score
186
Hivi tofauti na ufugaji na kilimo idea kubwa ambazo zitakufikisha mbali zaidi ni zepi zaidi ya nyanja za teknolojia hususani ile ya mawasiliano.

Kwa dunia ya sasa matajiri wengi wantokea kwenye njia hii ya Information technology wakina Billget, Mac, Jack MA, Jeff, nk, especially makampuni yenye mafanikio pia hupitia njia iyoiyo Google, Microsoft, Apple, Amazon nk.

Sasaivi uyu mtu anaitwa Elon Must anaenda mbali zaidi yeye ndio hatumuwezi kabisa kwa level zetu ila kwa hawa wakina Billget bana tukiamua hata leo tunaweza wafikia.

Jamaa aliyekataa 400M karudi bongo kafanya kitu chake kinaitwa NALA imekuwa idea kubwa kwetu mpaka tumempa vyeo sikidogo JF humu, sasa mimi nawaza tu je sie kama JF tusingeweza chakata kupata idea kama hii NALA.

Unajua JF tukiacha kupigana vijembe, kujifanya kila mtu faru, kujifanya sijui member wazoefu nk tunaweza fanya kitu kikubwa, minaona ngumu sana kufika mbali kupitia biashara hizi za uzalishaji kama kulima, kufuga, mgahawa nk, ila kupitia teknolojia easy sana kutusua mbali sana.

Google, Microsoft, Albaba, Alixpress, Ebay, Tesla, Space X, Boring, TEdex, PayPal, Facebook, Apple nk.

MPANGO

Hivi Macence Melo na wenzake wamewezaje kuumiza vichwa na kuanzisha kitu hiki JF.

Hivi uyu Dogo Benjamin amewezaje kuumiza kichwa kuleta NALA.

Hawa wamewezaje kuumiza kichwa kuleta Jumia, Kupatana.

Hivi hakuna nyanja iliyobaki ambayo Tunaweza fanya kitu na tuachane na kufuga samaki.
 
Mi huwezi nishawishi niwekeze kwenye kilimo,

Mambo ya kupangiwa bei na serikali, sijui hakuna kuuza nje ni utoto kabisaa...

Kiufupi wanaofanikiwa kwenye kilimo ni wachache sanaa....

Kilimo bongo ni umasikini, bora hata M-pesa.
 
Tatizo hamjiongezi
Kuna wadada wawili nawafatilia mmoja analima ana export
Mwingine analima anaingia front anauza mwenyewe

Watu wengi wanalima kilimo cha mazoea.
 
Tatizo hamjiongezi
Kuna wadada wawili nawafatilia mmoja analima ana export
Mwingine analima anaingia front anauza mwenyewe

Watu wengi wanalima kilimo cha mazoea.
Ni kweli Kabisa
 
Wengi wenye kauli kama zako in kula kulala tena kwa shemeji zenu
 
Tatizo hamjiongezi
Kuna wadada wawili nawafatilia mmoja analima ana export
Mwingine analima anaingia front anauza mwenyewe

Watu wengi wanalima kilimo cha mazoea.

Hornet my dear..mimi mwaka 2015 niliamua kuingia front... nikavaa sura ya mbuzi...sana.sana km kupishana na udalali ilikua kama laki 2 imagine siku nzima unaitumia ukiwa kitaa jua lako jasho lako...mfano..
ukilima tikiti ukaamua kuliuza mwrnyew kwa reja reja ni km unazunguka tu kule kule..kwasababu kila tikiti unachajiwa200...bado eneo la kuuzia unachajiwa per day..bado mlinzi hujamlipa hela yake kwa siku au kwa muda utakaouzia.. bado hujawapa vijana wanaokupigia debe... yaan hela.bado inatoka tu...ss tikit utakalomuuzia dalali kwa 1800 shamban ukiamua kulizua mwenyew halizid 2500😑(ss hy 2500 uigawe kwa kila kitu)unajikuta umerudi pale pale.kilimo cha bongo bado kina changamoto sana sana ...kilimo.kuntu ni cha matunda tu kwakweli ila sio.papaya😊
 
Huko "front" ndio wapi mkuu
 
Tatizo hamjiongezi
Kuna wadada wawili nawafatilia mmoja analima ana export
Mwingine analima anaingia front anauza mwenyewe

Watu wengi wanalima kilimo cha mazoea.
Wanapatikana wapi hao wadada mkuu?
 
Watanzania asilia hawapo serious na vitu. Nimejifunza kupitia hapa JF, tunasubiri mtu aje na wazo na pesa ya kutuajiri tu.
Wazo letu ni kulima na kufuga kuku basi.
 
Watanzania asilia hawapo serious na vitu. Nimejifunza kupitia hapa JF, tunasubiri mtu aje na wazo na pesa ya kutuajiri tu.
Wazo letu ni kulima na kufuga kuku basi.
ni kweli.....ila usilaumu tu..kuna mavikwazo asikuambie mtu..mtu unaishia kukata tamaa...mie niliwah jitosa sana sana aisee khaa nikagive up mwenyew...mpk leo wazo langu halijawaj futika akilini mwangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…