Umejumlisha na wa jirani zako?
Hahaha
Hapana na wa Kwako....Umejumlisha na wa jirani zako?
Ngoja niitafute calculatorRemove 20 years from your age,
How old are you?
[emoji1][emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
hiyo 21 nishatoa 20 mbili.Hapana na wa Kwako....
Nilipata 1 toka kwako na 29 toka kwangu
18-20= -2yearsRemove 20 years from your age,
How old are you?
[emoji1][emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujui hata kudanganyahiyo 21 nishatoa 20 mbili.
Najua wewe ndiye hujui kudanganywa.Hujui hata kudanyanya
Usinifanye nikuumbue hapaNajua wewe ndiye hujui kudanganywa.
khaah...haya.Usinifanye nikuumbue hapa