Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
Mtoto mdogo kama huyu ananyimwa haki yake ya malezi bora yasiyokubikwa na asili ya ukanda, uadui, hofu na damu lakini too bad atalelewa na matapeli watakaomwambia kuwa wayahudi, wakristo na wazungu ndio adui yake mkubwa.
Then, ataenda achokoze Israel, apewe kipondo, alafu ndugu zake wa bongo waje na nyuzi humu kuoneshwa ni namna gani wapalestina wanaonewa.
INTIFADA NI UTAPELI
Then, ataenda achokoze Israel, apewe kipondo, alafu ndugu zake wa bongo waje na nyuzi humu kuoneshwa ni namna gani wapalestina wanaonewa.
INTIFADA NI UTAPELI