Ukitolewa bikra halafu usipofanya tendo kwa muda mrefu inakuwaje?

Hapana sio uzi huu...

Vipi sasa unatakiwa umjibu asee naamini umepitia hili [emoji2]
Hahahah! Hili sijawahi kulipitia ila nilisikia BBC wakizungumzia "second virginity" kuwa mwanamke yeyote anaweza kuitengeneza kwa kukaa zaidi ya mwaka mmoja pasipo kufanya mapenzi. Haimaanishi kuwa atakuwa bikra kabisa ila ataweza kuwa tight kiasi cha kumfurahisha mwenza wake
 

Hehe hukupitia multiple kwahiyo wewe ule uzi wako ulitatuliwa mara moja tuu taah basi [emoji847]
 
Bikira haipo hapo bana,we utasikia tu maumivu tena kwakuwa hujachokonolewa muda mrefu,lakini huna break hapo tena,uko wazi.
 
Kamani jamani mimi kuchangia kwenye huu uzi wa tangu 2016 imekuwa nongwa? [emoji119] [emoji119]
Hahaha hapana mkuu usiogope ....ni kawaida tuu si unaelewa tena
 
Jamani, jamani mbona bikra inawapa shida hivi watu??.
Wanawake wote kibailojia wanazaliwa na TUNDU LA uke likiwa wazi ( open ), hakuna anaezaliwa uke ukiwa umeziba kwa jinsi yeyote ile labda awe ana congenital abnormality.Mwanamke akikua na uke unakua vile vile.Kubikiri na kumtoa damu mwanamke inategemea na size ya uume atakaokutana nao kwa mara ya kwanza.Uume mdogo KAMWE hauwezi kumtoa damu mwanamke kwa sababu utaingia kirahisi kabisa bila shida yeyote ile hata kama huyo mwanamke hajawahi kuingiliwa.Uume mkubwa ndo pekee utaingia kwa shida kwa kulazimisha na kuzitanua kingo ( kirinda) za uke na wakati mwingine kusababisha mishipa midogo ya kingo hizo kupasuka na kutoa damu na hivyo kuthibitisha dhana ya mwanaume ya kumtoa bikra mwanamke.Anus, urethra,vagina, midomo, pua na masikio mwanamke anazaliwa akiwa tayari ana matundu hayo.Hakuna utando wala kizuizi chochote kwenye uke.Ufahari wa kumbikiri mwanamke ni imani mbaya kabisa ambayo imezagaa dunia nzima na hasa wale wenye elimu ndogo juu ya maumbile ya binadamu hasa mwanamke.Wanawake wengi wanafahamu juu ya imani hii na mara nyingi hawa wanawake wajanja huafanyia timingi wanaume wakutane nao kipindi wanapokuwa hedhi.Atafanya madoido kama vile hajawahi kuingiliwa kimwili na atajibana barabara na mwanaume atakapolazimisha kuingiza atalia kama ameumia na kujitoa kwa nguvu kwenye tendo hilo na wewe utapochunguza utaona damu ambazo ni za hedhi.Kutokana na ujinga wako utajitangazia ubingwa wa kumpasua bikra wakati ni funga kamba tu na unakuwa umeingizwa mjini.Wanaume kueni makini na wanawake ni wajanja sana na bikra kwa baadhi ya wanawake ni mtaji mkubwa wa kuolewa kwa heshima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…