gambalanyoka
Member
- Mar 13, 2011
- 63
- 7
usitudanganye, wewe chotara watoto wa mama mwafirika wawe chotara. hiyo si biology bali wanaweza kuwa na rangi ya weupe kiasi fulani. kama umetolewa prostate inaamana umri wako umekwenda je, wataka zaa wajukuu?Jamani mimi nilifanyiwa TURP kuondolewa prostate miaka zaidi ya 5 iliyopita na toka wakati huo sijawahi kuona shahawa zinatoka,sasa nina mpenzi wangu nje ya ndoa,amejifungua watoto 2 na ameniambia kuwa ni wangu maana ni machotara nami pia chotara,je inawezekana?
The most common side effect of transurethral resection of the prostate (TURP) is a phenomenon known as retrograde ejaculation. This is wheresemenpasses backwards into the bladder during orgasm, rather than out through the penis. This is not harmful – you pass the semen mixed up with urine the next time you urinate –and most men do not find it a problem. Retrograde ejaculation may reduce your fertility, though it does not make you sterile.
unaweza zaa. samahani!! ni katika kautani kuwepo pia!!Tibaijuka nashindwa kukuelewa,mimi nimeuliza kuwa je mtu unapotolewa prostate unaweza tena kuzaa?Nimeuliza hivyo kwakuwa nina mpenzi ambae anadai kuwa nimezaa nae watoto.Dada huyo ni mpenzi wangu wa muda mrefu sio mke wangu na wala hahitaji kunidanganya kwani tunasaidiana sana na kuelewana sana tu,sasa unaponiuliza kama nimetoa prostate umri umeenda sana,kwamba nataka kuzaa wajukuu,huo sio msaada bali kejeli,na kama kweli wewe ni daktari basi wagonjwa wako wana kazi.Hatahivyo mimi ni mstaarabu nakusamehe