Ukitongozwa nuna!

Ukitongozwa nuna!

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Laiti wanawake wangekuwa wakinuna hivi wanapotongozwa basiukimwi ungepungua sana lakini leo hii kila akisalimiwa binti ndio kwanza anauliza b/card sasa duh kesho yake lazima mtu aumie sijui kama kuna kupona embu tubadilke
tuseme no najua wanaume wazaifu sana hasa kwenye kutamani lakini ninyi ndio wenye msimamo wa kutaka tuwe wapi
kila la kheri

attachment.php
 
Attachments

  • KUNUNA HUKU AKU.JPG
    KUNUNA HUKU AKU.JPG
    2.8 KB · Views: 426
Hao wanaonuna ndio rahisi kweli kuwapata hao.
 
Heeeee heeeee aiseee thx
kwa expr
 
Mmh! Utanunaje wakati unaambiwa maneno matamu ya uongo.
 
Laiti wanawake wangekuwa wakinuna hivi wanapotongozwa basiukimwi ungepungua sana lakini leo hii kila akisalimiwa binti ndio kwanza anauliza b/card sasa duh kesho yake lazima mtu aumie sijui kama kuna kupona embu tubadilke
tuseme no najua wanaume wazaifu sana hasa kwenye kutamani lakini ninyi ndio wenye msimamo wa kutaka tuwe wapi
kila la kheri

Kwa nini na wewe usinune wakati unamsalimia? Ukimsalimia huku unachekacheka lazima akuombe business card.
 
anune kwa sababu gani, acha watupe tumeumbia sisi hao, wamepewa bure ili nao watupe bure
 
Ile kitu tamu sana! Kwani na wao hawaitaji? Akinuna atapata wap?
 
hahahahhaaahhh ninune wakati ndo najijua nalipa kiasi gani
 
mi huwa nacheka sana coz i dont take men serious!kama mtu yuko serious ndo nanuna na kutafakari. na tumewagundua tukiwakataa mnasumbua.so straight to the point,b4 hujasema nakuambia tangaza sera baba,it is all in ur eyes!
 
Laiti wanawake wangekuwa wakinuna hivi wanapotongozwa basiukimwi ungepungua sana lakini leo hii kila akisalimiwa binti ndio kwanza anauliza b/card sasa duh kesho yake lazima mtu aumie sijui kama kuna kupona embu tubadilke
tuseme no najua wanaume wazaifu sana hasa kwenye kutamani lakini ninyi ndio wenye msimamo wa kutaka tuwe wapi
kila la kheri

Mimi nadhani hayo ni mawazo yako na pia kwetu sisi wanaume wa karne hii ambao ni wa binafsi.. Yaani..Ukimwona mwanamke yeyote hata akiwa na uwezo, mashuhuri basi unamwona ameshapiga magoti kwa mwanaume... Na mwanamke huyo akikupa namba au akichukua Business Card ..basi una - mjudge ameshalala chali kitandani.. Sasa kutokana na umasikini wetu Bongo.. unaweza ku prove dhana hii kirahisi..

Subiri mwaka 3000 uchumi wetu utakapokuwa mzuri na wanawake wanajitegemea, wakati huo tamaduni za mababu zenye kudharirisha wanawake zitakuwa zimepitwa na wakati..Basi muda huo fanya experiment yako uone kama utaweza kudondosha kirahisi..
 
mi huwa nacheka sana coz i dont take men serious!kama mtu yuko serious ndo nanuna na kutafakari. na tumewagundua tukiwakataa mnasumbua.so straight to the point,b4 hujasema nakuambia tangaza sera baba,it is all in ur eyes!
mh unafull technique. Kweli umejizatiti kuwapoteza. Hizi njia usinge zipost kwani itakuwa noma wote wakikuiga.
 
utanuna kwa wangapi?kujipunguzia umri tuu..nyie wanaume mmezidiii usione anapita utajishaua mara kusalimia mara sijui utoe bussiness card..utasalimia mpaka majini sasa..anza kununa wewe
 
Laiti wanawake wangekuwa wakinuna hivi wanapotongozwa basiukimwi ungepungua sana lakini leo hii kila akisalimiwa binti ndio kwanza anauliza b/card sasa duh kesho yake lazima mtu aumie sijui kama kuna kupona embu tubadilketuseme no najua wanaume wazaifu sana hasa kwenye kutamani lakini ninyi ndio wenye msimamo wa kutaka tuwe wapikila la kheri
attachment.php
sa hapo kanuna nini, mbona bado anaita.. huyo ajanuna yupo tu anatamani vitendo.!!
 
Laiti wanawake wangekuwa wakinuna hivi wanapotongozwa basiukimwi ungepungua sana lakini leo hii kila akisalimiwa binti ndio kwanza anauliza b/card sasa duh kesho yake lazima mtu aumie sijui kama kuna kupona embu tubadilketuseme no najua wanaume wazaifu sana hasa kwenye kutamani lakini ninyi ndio wenye msimamo wa kutaka tuwe wapikila la kheri
attachment.php
Huyo kanuna au anakonyeza? Nampenda jinsi alivyo huyo binti! Lips safi kwa kiss mwaaaah!
 
Back
Top Bottom