Ukituma Zawadi tuma na maagizo aisee

Ukituma Zawadi tuma na maagizo aisee

Mr Mikazo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2016
Posts
1,594
Reaction score
800
Ukituma Zawadi nyumbani toa ufafanuz ni kwa ajili ya nn haya huyo katuma pazia watu washamshonea Binti nguo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116]

1478355583118.jpg
 
Aisee!!! Yaani hata fundi aliyeshona kashindwa kugundua kuwa kuwa hicho si kitambaa bali ni pazia?
 
Madhara ya kuuza fabrics vijijini ndo haya...mtu ananunua tambara anakwenda kushona
 
Wacheni dharau. Majority ya watanzania tunaishi vijijini. Mnajua hali ya vijiji vyetu ilivyo kiuchumi. Mmehamia mijini basi pelekeni na diapers vijijini.
 
Et wanasema wakina mwafulan sio wa mchezo mchezo
 
Angevaa Beyonce mngesifia sana... na designer angepewa tuzo. Kavaa mtoto huyo mnampondea...hadi fundi wake. Mm naona hiyo ni bonge la ubunifu yan[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Back
Top Bottom