Ukitumia akili, mke hawezi kukuacha

Ukitumia akili, mke hawezi kukuacha

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
MAZUNGUMZO YA WALIOACHANA KWENYE SIMU

Mume: nisamehe, naomba turudiane mke wangu
Mke: una kikombe hapo?
Mume: no! kwanini?
Mke: kachukue kikombe jikoni
Mume: sawa, nishaenda chukua, sema!
Mke: kibwage kuanzia juu mpaka chini..
Mume: enheee... haya tayari
Mke: kimevunjika, sio...? Sasa kirudishe kilivyokua
Mume: hapana...! hakijavunjika, nilichukua cha plastiki
Mke: muone vile...! we mwanaume mkorofi sana, haya njoo unichukue
 
Aisee huyo sela ni genious.. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hao wanawake wa Vijijini wa siku hizi anaomba ATM yako na pasword kutazama salio la bank kwanza au salary slip ajiridhishe kama wewe ni Mwanaume Suruali au mipango
 
Back
Top Bottom