Clueless14
JF-Expert Member
- Aug 27, 2014
- 3,108
- 4,751
Hii thread ni sumu sana,wanadanganyana sana lakini wenyewe hawajijui.Eti wanapeana moyo kwa kushauriana jinsi ya kuishi kwa kunywa sumu inayokuua taratibu.Sasa wanaulizana,"eti ukinywa hii sumu inaweza kukuua baada ya muda gani"?Halafu wengine wanajibu,"aah mbona kuna wengine wanahimili madhara yake kwa zaidi ya miaka 30".
He he heeee ujinga bwana!!
hiv kama sina vvu nikitumia tu arv ninakuwaje
kwaniniKatika maisha yangu sitokuja kumshauri mtu aliepima ukimwi akaambiwa anao atumie Arv.kufanya ivyo ni kama kushiriki mauaji ya moja kwa moja ya mhusika.
Kwani asiekunywa dawa hizo zenye sumu ana guarantee ya kuishi miaka mingapi?
hiv kama sina vvu nikitumia tu arv ninakuwaje
Ushauri wangu kwake ni kufanya check up ya mwili wake jubwa kubaini nini tatizo.kinga za mwili zikishuka ujuevkuna sababu ya kinga kushuka.hasa magonjwa sugu,matumizi ya mda ya dawa za hospital,matatizo ya inni au hima ya manjano,tb,stress za kupita kiasi na vitu vingine.ukibaini tatizo tibia tatizo husika na ufuate ushauri wa lishe bora na jufanya mazoezi.arv ni sumu.zikikuta mwili uko weak tu basi hutoboi hata mwaka unaondoka mazima.Utamshauri afanye nini zaidi ya kutumia dawa?
Nashukuru kwa ushauri wako,ila inawezekana kweli kuishi na virus kwa mda mrefu bila kutumia ARV na ukaishi vizuri,na kinga zikishuka nijuavyo ndio huanzishiwa dawa ingawa wengine zikishuka sana ukadhoofu na ukipewa dawa tu ngoma unaenda nayo mazima.Kuna elimu naipata ambayo sikuwahi kuijua sasa nina miaka 38,na unaniaminisha nikigundulika na VVU naweza kuishi bila kutumia dawa?Ushauri wangu kwake ni kufanya check up ya mwili wake jubwa kubaini nini tatizo.kinga za mwili zikishuka ujuevkuna sababu ya kinga kushuka.hasa magonjwa sugu,matumizi ya mda ya dawa za hospital,matatizo ya inni au hima ya manjano,tb,stress za kupita kiasi na vitu vingine.ukibaini tatizo tibia tatizo husika na ufuate ushauri wa lishe bora na jufanya mazoezi.arv ni sumu.zikikuta mwili uko weak tu basi hutoboi hata mwaka unaondoka mazima.
Eh, kazi ipoHakuna HIV,sasa kama hakuna HIV nadhani umeshanielewa...yaani hata kama hutumii ARVs utaishi kama yule ambaye ameambiwa hana HIV kwakua HIV ni kitu hewa,hakipo.
HIV/AIDS ni ugonjwa ulioko akilini tu....wewe umeona wapi mtu yuko safi kabisa kiafya...anakwenda kupima anaambiwa ana HIV,kuanzia hapo ndio anaanza kuumwa baada ya kuambiwa ana HIV wakati siku zoote kabla hajapima yuko safi kabisa.....watu kama hawa wako wengi sana...pia hiyo sio hoja yenye nguvu,ni mfano tu.Zipo hoja kubwa sana za kuthibitisha kwamba HIV/AIDS ni uongo uliopindukia...fuatilia post zangu utajua tu.
Tatizo kinachofanyika wakikukuta na io hiv moja kwa moja unapewa mzigo wako wa Arv ukaanze kumeza.hakuna cha zaidi wanachokupima zaidi labd malaria na uti.kumbuka hospital zetu nyingi hazima vifaa.Nashukuru kwa ushauri wako,ila inawezekana kweli kuishi na virus kwa mda mrefu bila kutumia ARV na ukaishi vizuri,na kinga zikishuka nijuavyo ndio huanzishiwa dawa ingawa wengine zikishuka sana ukadhoofu na ukipewa dawa tu ngoma unaenda nayo mazima.Kuna elimu naipata ambayo sikuwahi kuijua sasa nina miaka 38,na unaniaminisha nikigundulika na VVU naweza kuishi bila kutumia dawa?
Nashukuru kwa ushauri wako mkuu@TroojanTatizo kinachofanyika wakikukuta na io hiv moja kwa moja unapewa mzigo wako wa Arv ukaanze kumeza.hakuna cha zaidi wanachokupima zaidi labd malaria na uti.kumbuka hospital zetu nyingi hazima vifaa.
Sasa ukishakabidhiwa zigo lako ndio kama wamekupa compliment ya kifo!
Kinga haishuki bila sababu mkuu.kinga ikishuka lazima kuna sababu ya kushuka kwa kinga.tafta io sababu .pima magonjwa yote ya mwili hasa yale sugu.penda kuangalia afya ya ini lako.utaishi mda mrefu sna pasipo na shaka