Mwanasayansi Kalivubha
JF-Expert Member
- Feb 4, 2024
- 344
- 926
Ukichukua watu kumi uwapeleke msituni kisha utafute mti mmoja mkubwa na uwaambie wanaona nini?
# Wapo watasema wanaona mti
#Wapo wataosema wanaona kuni.
#Wapo wataosema wameona Mbao.
#Wapo wataosema wameona mlingoti wa umeme
# Wapo wataosema wameona nguzo ya nyumba.
WOTE WAPO SAHIHI, NA HIVYO NDIVYO ILIVYO KWENYE MAISHA YA KAWAIDA.
Wapo wataokuona kama ulivyo na kuna ambao wataenda zaidi ya ulivyo ndio maana unayemkataa leo kwa matusi na dharau anaweza kubaliwa pengine tena akaonekana MTU MUHIMU SANA.
Utavyoonekana machoni pao itategemea tafasiri zao jumlisha ufahamu wao.
#Mwanasayansi Saul kalivubha
Fikia Ndoto Zako.