Mwanasayansi Kalivubha
JF-Expert Member
- Feb 4, 2024
- 344
- 926
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dr ndugulile akiwa kigamboni utafikiri alisoma shule za kata lakini mataifa ya nje yanamuona amesoma USA sijui tumelogwa!!!
😄Dr ndugulile akiwa kigamboni utafikiri alisoma shule za kata lakini mataifa ya nje yanamuona amesoma USA sijui tumelogwa!!!
HahaDr ndugulile akiwa kigamboni utafikiri alisoma shule za kata lakini mataifa ya nje yanamuona amesoma USA sijui tumelogwa!!!
Ujajuaaa dhahabu lazima iungueee ikae sawaUkichukua watu kumi uwapeleke msituni kisha utafute mti mmoja mkubwa na uwaambie wanaona nini?
# Wapo watasema wanaona mti
#Wapo wataosema wanaona kuni.
#Wapo wataosema wameona Mbao.
#Wapo wataosema wameona mlingoti wa umeme
# Wapo wataosema wameona nguzo ya nyumba.
WOTE WAPO SAHIHI, NA HIVYO NDIVYO ILIVYO KWENYE MAISHA YA KAWAIDA.
Wapo wataokuona kama ulivyo na kuna ambao wataenda zaidi ya ulivyo ndio maana unayemkataa leo kwa matusi na dharau anaweza kubaliwa pengine tena akaonekana MTU MUHIMU SANA.
Utavyoonekana machoni pao itategemea tafasiri zao jumlisha ufahamu wao.
#Mwanasayansi Saul kalivubha
Fikia Ndoto Zako.
Kweli, Muhibu ni kukutana na watu sahihiKikubwa omba ukutane na watu sahihi, watakao kufahamu vyema.
maana una weza onekana mbao halafu uka piganishwe na jiwe, hiyo ni zaidi ya suicide mission.
KaribuNaunga mkonoo hojaa za uzii huu. [emoji106][emoji106]
[emoji120][emoji120]Karibu
Kama past yako ni chafu kubali tu ulikosea, badilika na uende kuishi sehemu ambayo haujulikani.Ukichukua watu kumi uwapeleke msituni kisha utafute mti mmoja mkubwa na uwaambie wanaona nini?
# Wapo watasema wanaona mti
#Wapo wataosema wanaona kuni.
#Wapo wataosema wameona Mbao.
#Wapo wataosema wameona mlingoti wa umeme
# Wapo wataosema wameona nguzo ya nyumba.
WOTE WAPO SAHIHI, NA HIVYO NDIVYO ILIVYO KWENYE MAISHA YA KAWAIDA.
Wapo wataokuona kama ulivyo na kuna ambao wataenda zaidi ya ulivyo ndio maana unayemkataa leo kwa matusi na dharau anaweza kubaliwa pengine tena akaonekana MTU MUHIMU SANA.
Utavyoonekana machoni pao itategemea tafasiri zao jumlisha ufahamu wao.
#Mwanasayansi Saul kalivubha
Fikia Ndoto Zako.
Kwenye hili eneo huwa hukoseagi.Kama past yako ni chafu kubali tu ulikosea, badilika na uende kuishi sehemu ambayo haujulikani.
Kama hauna thamani, pambana kupandisha thamani yako, thamani yako inavyopanda na watu watakuthamini.
Tusijidanganye ili tu kukubaliana na comfortable zone yetu