Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Tuliokua chini ya utawala wa Mwalimu Nyerere tuliaminishwa kuwa Tanzania ni nchi ya kijamaa. Katiba bado inasema hivyo.
Ila kimatendo, sijui kama sisi ni wajamaa, mabepari au political hermaphrodite Sijui kusema ukweli.
Wanangu nisaidieni ili nikiulizwa lau niwe na la kujibu. Pia, hii iwafikie wapendwa wanaotuongoza waanze kutuonyesha mwelekeo.
Asanteni sana.