Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Ni nchi fakeTuliokua chini ya utawala wa Mwalimu Nyerere tuliaminishwa kuwa Tanzania ni nchi ya kijamaa. Katiba bado inasema hivyo. Ila kimatendo, sijui kama sisi ni wajamaa, mabepari au political hermaphrodite kama siyo mongrel au mule. Sijui kusema ukweli.
Wanangu nisaidieni ili nikiulizwa lau niwe na la kujibu. Pia, hii iwafikie wapendwa wanaotuongoza waanze kutuonyesha mwelekeo. Asanteni sana.
Eleza tu kwa kifupi kwamba Tanzania chini ya serikali sikivu ya CCM, ambayo inaongozwa na kiongozi na mwana mama madhubuti na kipenzi cha waTanzania wote Rais Dr Samia Suluhu Hassan,Tuliokua chini ya utawala wa Mwalimu Nyerere tuliaminishwa kuwa Tanzania ni nchi ya kijamaa. Katiba bado inasema hivyo. Ila kimatendo, sijui kama sisi ni wajamaa, mabepari au political hermaphrodite kama siyo mongrel au mule. Sijui kusema ukweli.
Wanangu nisaidieni ili nikiulizwa lau niwe na la kujibu. Pia, hii iwafikie wapendwa wanaotuongoza waanze kutuonyesha mwelekeo. Asanteni sana.
Ni nchi isiyofungamana na upande wowote.Tuliokua chini ya utawala wa Mwalimu Nyerere tuliaminishwa kuwa Tanzania ni nchi ya kijamaa. Katiba bado inasema hivyo.
Ila kimatendo, sijui kama sisi ni wajamaa, mabepari au political hermaphrodite Sijui kusema ukweli.
Wanangu nisaidieni ili nikiulizwa lau niwe na la kujibu. Pia, hii iwafikie wapendwa wanaotuongoza waanze kutuonyesha mwelekeo.
Asanteni sana.
πββοΈπ―πππππ€πEleza tu kwa kifupi kwamba Tanzania chini ya serikali sikivu ya CCM, ambayo inaongozwa na kiongozi na mwana mama madhubuti na kipenzi cha waTanzania wote Rais Dr Samia Suluhu Hassan,
Tanzania ni nchi ya ujamaa wa kisasa, ulojengwa katika misingi ya kujitegemea na kutofungamana na upande wowote wa duniani.
Tanzania ni Taifa huru la kidemokrasia, linaloheshimu haki, uhuru na usawa baina ya wanadamu. Ni Taifa linaloendeshwa kwa misingi ya kisheria na kikatiba katika kuyafukia malengo na maendeleo ya wananchi wake.
Umoja, amani na Utulivu ndiyo siri ya mafanikio ya kisiasa, kijamii na kiuchumi waliyonayo waTanzania π
usiongeze kitu gentleman
πββοΈπ―πππππ€πππΌπ‘οΈTanzania haijawahi kuwa ya Kibepari Kwa ukamilifu na wala haijawahi kuwa ya kijamaa kikamilifu.
Nchi hii ina Mlengo wa kati kwenye uchumi wake ni Changamani "Mixed Economy".
Maana yake ni kwamba yapo mambo na sera za kibepari yenye manufaa kwa wananchi yanafanyika na pia yapo mambo na sera za Kijamaa zenye manufaa kwa nchi yanafanyika.
Mfano, serikali kuhodhi huduma muhimu "monopolized" kama maji, umeme na zamani Afya ni sera ya Kijamaa ila inafanyika Tanzania.
Soko huru ni sera ya Kibepari ila inafanyika Tanzania kwa huduma nyingi isipokuwa umeme na maji.
Kwa iyo swali hili jibu lake ni kwamba, Tanzania tuna Mlengo wa kati, hatufungamani na Upebari wala Ujamaa.
Asante kwa uzi huu. Umenirudisha shule Mkuu.
π€£π€£π€£Tanzania ni nchi ya Maziwa na Asali, ukitaka kuyalamba kijamaa ama kibepari kazi kwako tu.
Mkuu umesema tuende kipopo popo!!π€£ π€£ π€£Ni nchi isiyofungamana na upande wowote.
Nadhani sio lazima tuchague upande. Hivi hivi ndio inapendeza.
πͺπππββοΈπ―πππππ€π
Nitajibu: inawezekana Tanzania yenyewe haijielewi labda ni ya kiliberaliTuliokua chini ya utawala wa Mwalimu Nyerere tuliaminishwa kuwa Tanzania ni nchi ya kijamaa. Katiba bado inasema hivyo.
Ila kimatendo, sijui kama sisi ni wajamaa, mabepari au political hermaphrodite Sijui kusema ukweli.
Wanangu nisaidieni ili nikiulizwa lau niwe na la kujibu. Pia, hii iwafikie wapendwa wanaotuongoza waanze kutuonyesha mwelekeo.
Asanteni sana.
Hizo sifa za uhuru, usawa, demokrasia, umoja na amani hata nchi za kibepari zinazoTanzania ni Taifa huru la kidemokrasia, linaloheshimu haki, uhuru na usawa baina ya wanadamu. Ni Taifa linaloendeshwa kwa misingi ya kisheria na kikatiba katika kuyafukia malengo na maendeleo ya wananchi wake.
Umoja, amani na Utulivu ndiyo siri ya mafanikio ya kisiasa, kijamii na kiuchumi waliyonayo waTanzania π
Ndiyo maana tupo sambamba nao licha ya kwamba saa zingine wanatuma vibaraka wao kuja kujaribu kuvuruga umoja na amani hiyo,Hizo sifa za uhuru, usawa, demokrasia, umoja na amani hata nchi za kibepari zinazo
mixed economyTuliokua chini ya utawala wa Mwalimu Nyerere tuliaminishwa kuwa Tanzania ni nchi ya kijamaa. Katiba bado inasema hivyo.
Ila kimatendo, sijui kama sisi ni wajamaa, mabepari au political hermaphrodite Sijui kusema ukweli.
Wanangu nisaidieni ili nikiulizwa lau niwe na la kujibu. Pia, hii iwafikie wapendwa wanaotuongoza waanze kutuonyesha mwelekeo.
Asanteni sana.m
Naam, nami nahakikisha siongezi wala kupunguza chochote kama ulivyosema gentleman.Eleza tu kwa kifupi kwamba Tanzania chini ya serikali sikivu ya CCM, ambayo inaongozwa na kiongozi na mwana mama madhubuti na kipenzi cha waTanzania wote Rais Dr Samia Suluhu Hassan,
Tanzania ni nchi ya ujamaa wa kisasa, ulojengwa katika misingi ya kujitegemea na kutofungamana na upande wowote wa duniani.
Tanzania ni Taifa huru la kidemokrasia, linaloheshimu haki, uhuru na usawa baina ya wanadamu. Ni Taifa linaloendeshwa kwa misingi ya kisheria na kikatiba katika kuyafukia malengo na maendeleo ya wananchi wake.
Umoja, amani na Utulivu ndiyo siri ya mafanikio ya kisiasa, kijamii na kiuchumi waliyonayo waTanzania π
usiongeze kitu gentleman
Unajua maana ya neno kujitegemea? Labda nikuulize swali hili 'Tanzania tunajitegemea tangu lini?'Eleza tu kwa kifupi kwamba Tanzania chini ya serikali sikivu ya CCM, ambayo inaongozwa na kiongozi na mwana mama madhubuti na kipenzi cha waTanzania wote Rais Dr Samia Suluhu Hassan,