Ukiumizwa na mapenzi hupaswi na wewe kuumiza watu wengine, hata Mungu hapendi

Ukiumizwa na mapenzi hupaswi na wewe kuumiza watu wengine, hata Mungu hapendi

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
896
Reaction score
1,427
Ukiumizwa na mapenzi hupaswi na wewe kuumiza watu wengine.

Acha visasi kwa watu wanaohusika na watu wasiohusika.

Jifunze kuachilia pale unapoumizwa na mapenzi...

Jifunze kusamehe na kuwa ni mtu mwema hata kama umeumizwa na mapenzi...

Usiwe mtu mbaya kisa umeumizwa...

Kuwa mtu mwema...

Usimuumize mtu ambaye hana hatia...

Siyo vizuri, ni vibaya mbele za Mungu...

Unanielewa rafiki Yangu?

Nakupenda ❤️
 
Back
Top Bottom