Ukiumwa ndiyo unaelewa vizuri umuhimu wa afya kuliko kitu kingine

Ukiumwa ndiyo unaelewa vizuri umuhimu wa afya kuliko kitu kingine

Kuna wakati unaweza kuumwa Hadi ukashindwa kutambua mtu akiwa mzima wa afya anajisikia je.

Ugua pole mkuu, maumivu yakizidi muone daktari au kituo Cha afya kilicho karibu yako.
 
𝐂𝐎𝐕𝐈𝐃 𝐈𝐌𝐄𝐑𝐔𝐃𝐈 𝐀𝐔
 
COVID 19 Ni Pepo Tutalishinda Kwa Maombi Tu, Hapo Sasa Kukatokea Sarakasi
Makonda Akafanya Unyunyiziaji Jiji La Dar Es Salaam
Mzilankende Akasema COVID 19 Ni Futa Futa Halifi Mpaka Boiling Point Ifike 100
Gwajima Wa Kawe Akaja Na Amfifilo Ambayo Ipo Ndani Ya Sabuni

Mazishi Haya Yanayoleta Misongamano, Baadaye Wabunge Warudi Bungeni Dodoma, Bhalaa
 
Hapo hata shemeji akivua kufuli hustuki.
Shikamoo malaria...
 
Hapa kichwa kinagonga, koo linakereketa, mwili unauchovu mzito ambao sijui umetokea wapi, No malaria no UTI,
Hapa sitamani kitu chochote zaidi ya kupata ahuweni.

Afya inastahili uwekezaji mkubwa sana
Of course na unaelewa maana ya utu na kujali wengine..

Binafsi Huwa najikuta nakata tamaa ya kuishi na maisha hayana maana Bora Ufe ,mbaya sana aisee.
 
COVID 19 Ni Pepo Tutalishinda Kwa Maombi Tu, Hapo Sasa Kukatokea Sarakasi
Makonda Akafanya Unyunyiziaji Jiji La Dar Es Salaam
Mzilankende Akasema COVID 19 Ni Futa Futa Halifi Mpaka Boiling Point Ifike 100
Gwajima Wa Kawe Akaja Na Amfifilo Ambayo Ipo Ndani Ya Sabuni

Mazishi Haya Yanayoleta Misongamano, Baadaye Wabunge Warudi Bungeni Dodoma, Bhalaa
Shekh rashid gwajima na amfifiro 🤣🤣🙌
 
Covid hyo mkuu, wahi malimao, tangawizi,jifukize fasta, June mpaka July tutashuhudia wimbi kubwa la vifo.
Sidhan mkuu, hii miezi ilopita sijajichanganya sana na watu, ingawa siwezi pinga moja kwa moja.
 
Sasa ukiachana na hisia hata nguvu yenyewe naitolea wapi? Yani bi uchovu wa ajabu sana ukiambatana na kichwa kugonga,
Kuna upepo wa mafua na kikohozi kila sehemu. Pole utakuwa sawa tumia dawa.
 
Back
Top Bottom