Ukiumwa nenda hospitali achana na mitishamba

Ukiumwa nenda hospitali achana na mitishamba

Kupata mti shamba sahihi ndio huwa mtihani kwa kweli Bora kwenda hospital kama wa kupona utapona TU la hasha Mungu atavuna kwenye shamba lake
 
Ukipimwa ukajua unaumwa nini basi imeisha hiyo mtu anapigwa stroke na anapona kwa miti shamba alafu unabeza pole sana mkuu
 
Kuna magonjwa hospital imekir hayana tiba kama bawasir lakin kuna magonjwa mitishamba imekir nenda hospital kama gono
 
Hata wewe mleta uzi kuna siku utakuja kutafuta tiba kwenye mitishamba! Usitukane ukunga.....! Ni kweli matapeli wapo lakini hata dawa za uhakika dhidi ya magonjwa sugu zipo pia na zinaponya wapioshindikana hosp
 
Mwenye tiba aweke hapa sio tukufuate inbox au mgonjwa umpe dawa akipona tunakulipa hela yako
 
Back
Top Bottom