Hospital napo kuna miti shambaKuchanganya dawa za hospitali na ungaunga wa mbao ndio mbinu wanayotumia wataalam wa mitishamba kuwahadaa wagonjwa. Ukiumwa nenda hospitali achana na dawa zisizo thibitishwa, usiseme sijakwambia.
Kikubwa diagnostic kwanza, mtu anaumwa niniKuchanganya dawa za hospitali na ungaunga wa mbao ndio mbinu wanayotumia wataalam wa mitishamba kuwahadaa wagonjwa. Ukiumwa nenda hospitali achana na dawa zisizo thibitishwa, usiseme sijakwambia.
Soma Pia: Matumizi makubwa ya Diclofenac, Diclopar na Mitishamba husababisha Ugonjwa wa Figo
Kabisaaa,Kuna magonjwa hospital imekir hayana tiba kama bawasir lakin kuna magonjwa mitishamba imekir nenda hospital kama gono
Ataje pia inayo tibu chango,ngiri na dege dege za hospital!Taja dawa ya hospitali inayotibu kisukari...
Za kienyeji zipo...