hearly JF-Expert Member Joined Jun 19, 2014 Posts 45,678 Reaction score 63,304 Nov 15, 2018 #41 Billie said: Hata kama maisha magumu hapa nchini hebu tujitahidi kukemea mawazo ya ajabu kama ya huyu mtoa mada. Click to expand... hahaa
Billie said: Hata kama maisha magumu hapa nchini hebu tujitahidi kukemea mawazo ya ajabu kama ya huyu mtoa mada. Click to expand... hahaa
hearly JF-Expert Member Joined Jun 19, 2014 Posts 45,678 Reaction score 63,304 Nov 15, 2018 #42 Khantwe said: Maumivu ya njaa ni sawa na ya kichwa, jino n.k? Hunger is a feeling not a pain. Ni sawa na kusema mtu akiwa na nyegezi anywe panadol..hivi ni mimi nimeandika kweli hapa? Haha akili za usiku hizi Click to expand... itakuwa imejipost. au kuna mtu kadukua acc yako
Khantwe said: Maumivu ya njaa ni sawa na ya kichwa, jino n.k? Hunger is a feeling not a pain. Ni sawa na kusema mtu akiwa na nyegezi anywe panadol..hivi ni mimi nimeandika kweli hapa? Haha akili za usiku hizi Click to expand... itakuwa imejipost. au kuna mtu kadukua acc yako
EINSTEIN112 JF-Expert Member Joined Oct 26, 2018 Posts 21,711 Reaction score 35,644 Nov 15, 2018 #43 ma ukiumwa haja kubwa we lala horizontal yanakata cos of gravitation force
Mhandisi Mzalendo JF-Expert Member Joined Aug 23, 2010 Posts 6,682 Reaction score 11,461 Nov 15, 2018 Thread starter #44 EINSTEIN112 said: ma ukiumwa haja kubwa we lala horizontal yanakata cos of gravitation force Click to expand... Mpaka sasa sijapata jibu la uhakika....
EINSTEIN112 said: ma ukiumwa haja kubwa we lala horizontal yanakata cos of gravitation force Click to expand... Mpaka sasa sijapata jibu la uhakika....