johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kenya kwa mfano Chaguzi nyingi za kitaasisi zinasimamiwa na Chama Cha Wanasheria yaani LSK
Fikiria Chaguzi za Ndani za Chadema kwa mfano zinasimamiwa na Viongozi wa Chama, Kura wanahesabu hao hao na Mshindi wanamtangaza hao hao
Sasa kuna Uhalali hapo? Ile Kauli ya Bukoba ni sahihi kabisa hata kama ilitolewa kwa njia ya utani
Mlale Unono 😀😀🔥
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Kumekucha: Mchungaji Msigwa amkataa John Mrema kuwa Msimamizi wa Uchaguzi Kanda ya Nyasa