J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Jul 16, 2024 #1 Kenya kwa mfano Chaguzi nyingi za kitaasisi zinasimamiwa na Chama Cha Wanasheria yaani LSK Fikiria Chaguzi za Ndani za Chadema kwa mfano zinasimamiwa na Viongozi wa Chama, Kura wanahesabu hao hao na Mshindi wanamtangaza hao hao Sasa kuna Uhalali hapo? Ile Kauli ya Bukoba ni sahihi kabisa hata kama ilitolewa kwa njia ya utani Mlale Unono πππ₯ PIA SOMA - Kuelekea 2025 - Kumekucha: Mchungaji Msigwa amkataa John Mrema kuwa Msimamizi wa Uchaguzi Kanda ya Nyasa
Kenya kwa mfano Chaguzi nyingi za kitaasisi zinasimamiwa na Chama Cha Wanasheria yaani LSK Fikiria Chaguzi za Ndani za Chadema kwa mfano zinasimamiwa na Viongozi wa Chama, Kura wanahesabu hao hao na Mshindi wanamtangaza hao hao Sasa kuna Uhalali hapo? Ile Kauli ya Bukoba ni sahihi kabisa hata kama ilitolewa kwa njia ya utani Mlale Unono πππ₯ PIA SOMA - Kuelekea 2025 - Kumekucha: Mchungaji Msigwa amkataa John Mrema kuwa Msimamizi wa Uchaguzi Kanda ya Nyasa